Home
Unlabelled
wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watu wana bipu umri unakatika. Haya Iddi Mubaraka, milaufeizina ukiona kimya ujue sina...
ReplyDeleteHuyo mwenye kusema umri unakatika kila siku akiona picha za wanawake huku. Ananiashangaza sana. Wewe hivi kuolewa unazania kuna mwisho uliza uambiwe, Mbona huoni miaka ya wanaume ikikatika ni wanawake tu? get out of the country macho usafishe ndugu yangu. wanawake wa siku hizi lazima wajiweke safi kabla ya kukimbilia kuolewa.
ReplyDeleteUnazania wanawake wa siku hizi wanategemea mume wa kutunza mtu? Wanatafuta real love wakishapata elimu na kazi zao hapo ndio wana choose na sio kuchaguliwa tena....njoo unifuate nikuchambue kwanza sidhani hata hao unaowaona nakusema umri umekatika wakikuona watakutaka..wewe nnenda kachezee tu wale yes sir wako...wenzako hao unaoawaona wanalo lakujivunia zaidi ya kuitwa kuwa na identity ya mke wa fulani tu...Siku hizi ni kwa mwendo wa huyu ni Dr. Mrs so and so....you hear me!!!
Dada angu mwenye red polepole hayo mapisto hayatopasua kiti..duuh si haba na mtidi pia upo.
ReplyDeletemwenzio jua lishakuchwakabisaaaa
jamani hawa hata sio wazee ni unene tu Joan nakukumbka kibosho girl's uko wapi siku hizi.
ReplyDeletehee Joan ur still cute with that baby face.. mtoto mzuri halafu kichwa nakukumbuka enzi zako unasoma masters mlimani, ulinifundisha katika one of ur classes. I guess u will become a Dr soon. Mtoto msomi bwana. Kula raha na eid njema
ReplyDeleteMdau maarufu.
Sawa dada muengland naona mambo yako si mcheso kweli.
ReplyDeletewewe dada mwenye blue umesoma Kibosho sio ?au jangwani kama nakujua vile
ReplyDeleteDada mwenye blue kama sikosei ulimaliza na skirt za kijani kibosho girls watoto wa mama hermania(new headmistress after mama consolata had left)anaesema wana umri akavae miwani mbona wabichi kabisa???WIVU HUO NA USHINDWE!!!
ReplyDeleteAaaah Joan, kama nakuona vile mama wa Nyaishozi a.k.a a.k.a a.k.a a.k.a Nyama Chabesi! Hivi Nyama Chabesi papo au pamefungwa! Na ile baa ya WHO TOLD YOU vp ipo? Tunataka kuja kula Idd huko sisi wadau wa Buguruni kwa Mnyamani hapa! Eid njema!
ReplyDeleteAnon wa October 11, 2007 12:43:00 AM EAT
ReplyDeleteahsante na iddy njema pia nawe lakini kumbuka kuwa kuolewa/kuoa ni heshima kwa mwanamke/mwanaume hata awe prof,dr,wazir etc watu watamshusha wakigundua kwamba ni bachelor.
na inawezekana kwa mwanamke ni muhimu iwe mapema kwakuwa wanakuwaoutdate mapema zaidi ya wanaume globally
huyo mwenye blue nakumbuka kamaliza Kibosho Girl's alikuwa nyuma yangu mwaka mmoja.... bado uko bomba bibie... Eid njema
ReplyDeleteAma kweli. Jua Limekuchwaaaa, ama kwa lugha nyingine, hivi sasa ni saa moja kasoro dakika mathalan tano. EID Njema pia. Kila la kheri.
ReplyDeleteJamani Joan umekuwa mdada nakukumbuka saaana ulipokuwa mdogo mara nyingi nilipokubeba ulikuwa wanikojolea... sasa zamu yangu... Keep the promise...
ReplyDeleteHuyo wa t-shirt ya blue ni Graciana Bachubila Kibosho girls skirt za kijani na A level 2001
ReplyDeletedah hawa mademu mnasema ni cute,nyie hamna macho kweli.Hii mizinga mbona ina sura za kutisha.Wakinuna watoto wachafu lazima waoge
ReplyDeleteAnnoy 11;14 acha mawazo ya enzi za stone age. Eti kuolewa ni heshima...hizo tradition za kizamani sana. Hata kama mtu anateseka ndani ya nyumba basi heshima ...wewe unataka kufurahisha ulimwengu au...Kama ukimpata mume/mke wa kukupa hiyo heshima poa lakini kitu cha ku peer pressure kwa vile mtu ana umri fulani basi ni lazima aolewe that is bull shit. Eti wanawake wanakua outdated...who says so...Kama uko bongo you can tell me that lakini nje ya bongo hamna cha out dated wala nini. Na kama ni kuzaa mtoto siku hizi ziko njia nyingi tu. Kila mtu mwenye kutaka mtoto siku hizi anapata tu haijali umri wala nini.
ReplyDeleteNdio hao wengine tunaona wanakimbilia tu wanaume halafu ikifika miezi hata sio minne wameachika, miaka miwili wana vitoto na baba haonekani. Eti heshima. na wengine kaolewa tu kwa vile wote wa umri wake huko kijijini wameolewa basi na yeye mama yake anataka aolewe. Hizi stereo type za kijinga na zina wafanya wanawake wakimbile tu mwanaume yeyote kuogopa akifikisha miaka 25 hajaolewa basi watu watasema. Lakini hamna raha rohoni wala amani. Na ndio mwanzo wakunyanyasika.
Honesty kama ni heshima ya kuplease ulimwengu na inipitie mbali.
Acheni kudanganya watu heshima wakati milango ikifungwa hamna amani kwa vile wengi wanaokimbilia kuolewa sio match made in heaven ni kuplease ulimwengu tu. Mbele ya macho ya watu ni eeeee lakini nyumbani kwao ni moto umewaka. Let people find the right person sio kuwapressurlised tu ....mara umri umekatika, mara wazee.
Ndio maa na maukimwi hayaishi bongo kwa vile wanaume wameoa just kuplease ulimwengu na wanawake wameolewa kwa vile umri umefika hivyo haraka haraka wakiwa ndani wala haviendi they end up spenfing time in different rooms kila nights...
we ANON WA MWISHO UMETOA MAONI YENYE PhD YANI.UNAJUA BONGO WATU
ReplyDeleteWANATAKA KUOA/KUOLEWA ILI KUONYESHA
MARAFIKI ''NA MIMI NIMEOA/NIMEOLEWA'' MAMBO AMBAYO
NI YA KIZAMANI ENZI ZA WATEMI WA
MAKABILA KUJICHAGULIA MABINTI KAMA
PIPI KIFUA AU NJUGU.YANI HUWEZI
KUKUTANA NA UPUUZI HUO KTK JAMII
ZA DEVELOPED WORLD.KILA MTU APEWE
MUDA NA MAAMUZI YA KUOA/KUOLEWA
NA MTU AMPENDAYE.MAMA,BABA,BIBI
WASIWE NA VISHAWISHI.NDIO MAANA RATE
YA DIVORCE SASA TZ NI %300
NA HII SIO REKODI RASMI.ACHA WALE WANAOOANA VILLAGE NA KUACHANA BILA
REKODI RASMI WALA NINI.TABU KWELI KWELI.HALAFU HAKUNA CHECK-UP WALA
NINI.HAPO NI UKIMWI,HERPES,HEPATITIS B NA KILA
STD(SEXUALLY TRANSMITTED DISEASES)
AMKEEENI NYINYI MA-ANON WENYE MAWAZO KAMA YA PAKA SHUME
maANON waOctober 11, 2007 10:09:00 PM EAT naOctober 12, 2007 1:49:00 AM EAT
ReplyDeletenyie ni malimbukeni yaani kuishi ugaibuni basi mnadhani mila na desturi zote za mwafrika/mtanzania ni upuuzi hamna maana hata kidogo,kama ni upuuzi mama zetu na baba zenu ndiyo wamekulia huko na kupata akili ya kuwalea na kuwafikisha hapo mlipo.
watumwa mwa fikra nyie!
mjakwenda shule nini nyie?au kubeba mabox ugaibuni ndiyo mmeona life,mkizeeka kazi ya ukuli uwa ni ngumu sana inabidi muende bongo kuuza vitumbua vyenu.
Anon wa 11 October at 10:09
ReplyDeleteNaomba kutoa mchango wango ya kuwa hii blog inasomwa na vijana wetu wengi waliopo nje na ndani ya nchi. Hivyo hizo pumba unazoongea angalia unamlenga nani. Usije ukaongea pumba mbele za watu just kujiplease wewe mwenyewe na matakwa yako, bila kuangalia jamii yetu inahitaji nini ili tuwe na Society nzuri yenye kupendeza.
Jiulize wewe binafsi, baba yako asingemuoa mama yako wakiwa bado vijana wewe ungelelewa na kusomeshwa shule nzuri?! Malezi na upendo ulioupata nyumbani ni sababu baba yako aliona ni kheri aoe ili apate kuwa na maisha yenye kheri, amani, upendo na yenye kumpendeza mwenyezi Mungu.
Jamii tunayoishi hivi sasa katika karne hii, ambapo vijana wetu wako exposed na jinsia tofauti, mashuleni, vyuoni, and the media inawaelekeza katika a very high sexually permissive society! Ina maana bila shaka, uwe muislamu au mkristo, matamanio ya kujaamiana yatatokea katika umri mdogo sana, pale tu mtu atakapo kuwa na mahitaji hayo, tena kirahisi, because wasichana wabongo wako very cheap! Chipsi mayai tu na fanta anakubali kwenda guest na jibaba.
Na kama tutakubali watu wazini hovyo, UKIMWI hautoisha na watoto wa nje ya ndoa watazagaa mitaani. That is a disgrace for anyplace in the world. Sasa hivi single parents zinashamiri kwa asilimia 40 – 50 hapa Tanzania. Hii ni kwa upeo wangu tu watu ninaowajua, sijui survey ya kitaifa ikifanyika matokea yatakuwa asilima ngapi.
Watu wenye mawazo ya so called ‘ya kisasa’ tutajikuta na society yenye idadi kubwa mno ya single mothers. Japo dini zote zinapinga hili swala la extra-marital sex.
Ndoa za mapema zinatakiwa zihamasishwe kama kinga ya kujiepusha na dhambi ya kuzini na kuwa na jamii bora ya vizazi vijavyo kulelewa na both parents.
Tukiwa katika mfungo, na tunapenda kupokea salaam zako za Eid, tunaomba usitubeze ya kuwa tuna mawazo ya kizamani ikiwa tunapendekeza ndoa za mapema. Tukiwa waislamu, wengi wetu tunafuata Sunnah ya mtume wetu Muhammad (SWW) ya kupendekeza ndoa kwa vijana wenye umri mdogo (23 – 25 years is OK), na sio only encourage marriage for young people, but also support it in whatever way necessary.
Pamoja ya kuwa inaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume, ni bora wanaume wafuate dini yetu inavyosema. Waoe zaidi ya mwanamke mmoja. Dini inaruhusu, lakini pale mwanaume anapoaumua kuoa mke wa pili, jamii inamzomea yule mwanamke as if ni mkatili sana au amemuibia mwenzie. Hata dada zetu wa kiislamu hawana aibu kulipinga hili swala la ndoa ya wake wawili. Tunaambiwa huko tuendako, kutakuwa na wanawake 50 kwa mwanaume mmoja. Hiyo siku inakuja kwa kasi kubwa.
Kufuata dini yeyote ile kifasaha inakuja tu endapo unakuwa ndani ya ndoa. Mtu aliyeoa au aliyeolewa anamfurahisha hata muumba wetu Subhana Wataallah. Na asiyetaka kuoa au kuolewa anamuudhi sana mwenyezi Mungu.
Kwa wanawake, ndoa ni kama mwamvuli, unakulinda na jua, mvua na kila aina ya dhoruba za dunia. Hata mwanaume wako asiwe na kitu au elimu kama wewe, but marriage is a blessing. Mungu humpa mmoja wenu nguvu zaidi ya kumlinda mwenzi wake, wewe mwanamke unamlinda mumeo na yeye anakulinda wewe pia.
Ndoa pia inakidhi matamanio yako ya kimwili. Tuseme wewe dada Dr. Mrs, hizo award zako ukiziframe ukutani zitakusatisfy n**e zako? Jibu ni La-hasha!
We understand that sex outside of marriage is forbidden and considered a major sin. Be you a muslim or Christian.
Therefore, sexual desires may only be satisfied within a marriage. Marriage provides protection from sin ya zinaa!
Katika dini ya kiislamu, ni wazi kuwa the trend to delay or skip marriage is prohibited, and with very very good reason. Marriage still remains the trend in Muslim communities. It provides a safeguard against sexual sin for the man as well as for the woman. Huwezi kuswali sala tano, huku unazini kila siku. Haiswihi mama!
To conclude, kama wewe hutaki kuolewa, ni wewe. Seek for love mpaka uipate in your 50s then uolewe mayai yote ya kizazi yameshakauka. Lakini usiseme sio lazima.
Na swala la kusema divorce rate ni kubwa ni kwa sababu one or both partners are not God fearing. Wengi wanaooa na kuolewa siku hizi hawapendi dini na maswala ya kidini. Be them muslims or Christians. They get married for fun and fame!! Kama unaswali kila siku na kusoma Quran, au bibilia yako, basi utapata proverbs na aya nyingi tele tele za kutuliza zohari ndani ya ndoa yenu.
Shetani anapenya na anapenda kuwatenganisha kwa sababu hukasirika sana tena asana akiona mtu anaoa na kushika ibada, maana anaona umati wake unapotea na kumfuata Mwenyezi Mungu. Hawasomi Quran, japo mara moja kwa wiki, hawaendi makanisani, japo hata jumapili, hawamuogopi Mungu. Kutwa utawakuta kwenye mabar mpaka saa 8 za usiku. Halafu ushangae kwa nini talaka zinakuwa nje nje?!
So ma dear sister. Usikatae mchumba, kubali uolewe! Na kama umeolewa, nakushauri kila siku soma proverbs at least 5 a day, na kama Muislamu soma Yasin kila siku!!
Pia, usiache kuwa msafi na kuutunza mwili wako. Fanya mazoezi, mafuta ya uzembe punguza (hii hata kwa kina baba, vitambi jamani), kuwa fit, from the day unaoa au unaolewa kuwa fit, acha kujisahau katika ndoa zenu. Tell your husband and wife today that you love them, big time! Mwaaaah!
Eid Mubarak!
MITOTO YA SKETI ZA KIJANI ILIKUWA MITUNDU SANA LAKINI NAHISI HAWA WALIKUWA WAPOLE, KUNA KINA JASMIN, NORAH, MARY CHUWA,etc YAANI SKETI ZA KIJANI ILIKUWA BALAA!! BORA MLIMALIZAGA MKAONDOKA WALLAHI MNGEMPATIA HERMANIA KICHAA!! MOE MWENYEWE ALIZIMA BRAKE PALE KWA SKETI ZA KIJANI
ReplyDeleteNani kasema kuzaa mapema ni guarantee ya watu kuweza kuwasomesha watoto? Unaweza kuzaa mapema na usiweze kumsomesha mtoto na unaweza kuzaa late na usiweze kumsomesha mtoto pia. Kwa hiyo isiwe kigezo cha kuwaharakisha watu kuolewa. Na pia research inaonyesha watoto wanaozaliwa na wazazi above 30 yrs old ndio wanapata attention, love na care bora kuliko wanao zaliwa na wazazi walio chini ya hapo. Kwa vile wazazi walio in 20's bado wanakimbiza elimu na careers. Honesty sidhani kama kuzaa mapema kuna tofauti yeyeote, au la my grand mother alimzaa mjomba wangu akiwa na miaka 42 na mtoto alikua na kusomeshwa vizuri na bibi yupo mpaka leo anadunda…Na mimi mama yangu alinizaa akiwa na miaka 30 sasa mnaosema kuzaa mapema hata miaka ya zamani walizaa wakiwa wazeeeeee.
ReplyDeleteNa pia unaweza kuolewa na usijaliwe kupata watoto na point tunayosema hapa ni watu wenye less mind wanaotaka kila mwanamke aolewe ili mradi amefikisha miaka sijui 18 au 21…. Manake picha za watu wote tunaona zinawekwa hapa watu wanalalamika huyo umri umekatika who cares wakipata the right people wataolewa. Nyie mnaowasema watu umri umekatika sasa mnataka waolewe na nani?Wakimpata wataolewa…sio nyie kuwawakumbusha kuwa umri umekatika…
Mnaoona ni pumba ni kwa vile zimewa touch rohoni kwenu… Get life na traditions zenu za kipumbavu…Well hata kama mnasema nimetoka nje na nimeacha desturi za kiafrica well…I am smart enough to learn and know what is right and what is wrong. That is the good thing about education and I will keep my best traditions with me and those nonsense I have already dump them and one of them is this one. Forcing women to get married just because they are 18 without finding the person they love is wrong.. And just to get married to please the world is wrong… And starting a family without knowing what to feed the kids is wrong. Rushing people to get married before they finish school is wrong
Wewe acha pumba jamii inayosema wanawake ni wengi kuliko wanaume ni ipi? Yaani hiyo ndio kigezo cha wanaume waoe wanawake wawengi au waolewe mapema? Kweli tunahitaji sala nyingi sana kwenye society yetu.
ReplyDeleteKwanza hii sheria ya wanaume kuruhusiwa kuoa wanawake wengi ni huhu huho bongo nend a kaoe wanawake wengi Europe au US kama haujaishia jela. Kwa vile wao wanathamini utu wa mtu na binadamu wote ni sawa.
Na ndi maana hata kwao mwanamke akiolewa sio lazima kubadili jina lake la mwisho lakini bongo ni kama property umenunua mtu..jina lazima ubadili..Kuwatesa tu wanawake.
Eti wakiolewa mapema uzinzi utaisha...acha hizo wangapi wameolewa na kuoa lakini bado wana viwasichana nje tu. Na hao single mother umeshauliza ukajua ni wangapi waliolewa na wakapewa talaka?
jamani waachieni watu siku wakipata mume wanayempenda basi waolewe lakinikitendo cha kuwanyooshea vidole kila wakipita hiyo imepitwa na wakati.
Eid Mubaraka to you too
Nani kasema kuzaa mapema ni guarantee ya watu kuweza kuwasomesha watoto? Unaweza kuzaa mapema na usiweze kumsomesha mtoto na unaweza kuzaa late na usiweze kumsomesha mtoto pia. Kwa hiyo isiwe kigezo cha kuwaharakisha watu kuolewa. Na pia research inaonyesha watoto wanaozaliwa na wazazi above 30 yrs old ndio wanapata attention, love na care bora kuliko wanao zaliwa na wazazi walio chini ya hapo. Kwa vile wazazi walio in 20's bado wanakimbiza elimu na careers. Honesty sidhani kama kuzaa mapema kuna tofauti yeyeote, au la my grand mother alimzaa mjomba wangu akiwa na miaka 42 na mtoto alikua na kusomeshwa vizuri na bibi yupo mpaka leo anadunda…Na mimi mama yangu alinizaa akiwa na miaka 30 sasa mnaosema kuzaa mapema hata miaka ya zamani walizaa wakiwa wazeeeeee.
ReplyDeleteNa pia unaweza kuolewa na usijaliwe kupata watoto na point tunayosema hapa ni watu wenye less mind wanaotaka kila mwanamke aolewe ili mradi amefikisha miaka sijui 18 au 21…. Manake picha za watu wote tunaona zinawekwa hapa watu wanalalamika huyo umri umekatika who cares wakipata the right people wataolewa. Nyie mnaowasema watu umri umekatika sasa mnataka waolewe na nani?Wakimpata wataolewa…sio nyie kuwawakumbusha kuwa umri umekatika…
Mnaoona ni pumba ni kwa vile zimewa touch rohoni kwenu… Get life na traditions zenu za kipumbavu…Well hata kama mnasema nimetoka nje na nimeacha desturi za kiafrica well…I am smart enough to learn and know what is right and what is wrong. That is the good thing about education and I will keep my best traditions with me and those nonsense I have already dump them and one of them is this one. Forcing women to get married just because they are 18 without finding the person they love is wrong.. And just to get married to please the world is wrong… And starting a family without knowing what to feed the kids is wrong. Rushing people to get married before they finish school is wrong