michuzi,

usiwe na roho kutu mtani naomba uwape wpenzi wote wa Man united zawadi hii watumie kama wall paper kama hongera kwao .ni afadhali kufungwa nusu fainali na Ac kuliko kufungwa fainali na nyie. juu ngome yenu nzito nina ticket ya wembley nitawaletea picha zaidi . by the way michuzi hii machine siyo slr! ni N73 cronic manchester.

saeson ticket holder man u.

jibu: sawa baba. sina roho kutu mie; ila hiyo jezi na vinginevyo usijeviona vizito baadaye... maana hamkawii kuvitupa pipani. halafu tuna usongo na nyie kweli. ngoja yosso leo wakupigishe kwata ndipo urudie maneno yako hayoo


tahadhari: kuna wadau wanatabiri bila kutaja matokeo kwenye kale kashindano ketu ka $500. naomba mdau taja idadi ya magoli sio nani atashinda pekee. na mwisho wa shindano ni dakika moja kabla ya mchezo kuanza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Kushabikia club za ugenini!!
    nilifikiri huyo bwana ni mchezaji wa hio timu huko ulaya kumbe ni mbeba bendera!! ngoja nikampikie bwana wangu mie.
    Mnaboa

    ReplyDelete
  2. Natokea hapa kaka'beta late zan neva' bro michu ile four,four tunaiacha leo. Arsenal 1 Man U 2 faino score au sio mwana.jojigeorige@yahoo.com

    ReplyDelete
  3. President Idi Amin once called his foreign Minister
    and told him that he wanted to change the name of
    Uganda to Idi. The Hon. Minister was tasked to
    canvas world opinion and return to the Field Marshal
    in two weeks. He did not do so and was summoned and
    asked to explain. He said "Mr President, I have been
    reliably informed that there is a country called
    Cyprus and its citizens are called Cypriots. If we
    change the name of our country to Idi, Our citizens
    will be called Idiots"

    ReplyDelete
  4. manchester 2: arsenal 2

    ReplyDelete
  5. manchester 2: arsenal 1

    nipe changu michu...

    ReplyDelete
  6. Mithupu hamu hauna naona lala salama jahazi limetota mpaka saaa hii ngoma ni 3-1 .....

    kazi kweli hii

    ReplyDelete
  7. bwana michuzi hii ngoma itakuwa 1-1,ni mimi richard kaswalala,email address yangu ni tale562@hotmail.com

    ReplyDelete
  8. arsenal 3, man united 1.

    mdau,

    kkasig10@caledonian.ac.uk

    ReplyDelete
  9. arsenal 3, man utd 1

    mdau

    kkasig10@caledonian.ac.uk

    ReplyDelete
  10. Michuzi usinibanie nimeshinda hiyo zawadi kitangali ...nimetabiri sawa sawa naona ujatoa comments zangu lakini.

    ReplyDelete
  11. DU ! KAMA HIYO NI N73 BASI NAOMBA UTUSHUSHE SIMU HAIWEZI PIGA PICHA QUALITY NAMNA HIYO

    ReplyDelete
  12. I belive that is nokia N73 expensive phone but bro I got phone nokia N93 baba lao.Unalo????? N73 cha mtot mbona.Aaaaaahhhhhh!!!!!!! nenda na wakati.

    ReplyDelete
  13. Sasa NDUGU .. Kuhold ticket ya Man U mwaka mzima ndio nini?? we unafanya kazi Gani>?? professional au ndio Box kwa chati na kuvuta mnyonyo wa job Centre?? komaa Kichwa.. Kina rooney hatukuwa tunawaona wakati cantona anacheza na wao ndio wazungu... ila walichofanya ni kukomaa na soka sasa wanachezea timu Hiyo hiyo.. unamiliki ticket ya mwaka wakati ndugu zako bongo choka mbaya... hata kama kwenu powa.. lakini nina uhakika Kabisa kuna watoto wa baba zako wadogo wako choka mbaya.. huko mwananyamala kisiwani...! Kuza Akili.. viwanja vya mpira vimejengewa watu kama nyie Mnyonywe.. halaf ukirudi Africa utabaki kuhadithia nilikuwa member wa Man U.. wakati hujafanya lolote la maana katika maisha yako.. hivi Unafikiri kwa maisha yako hayo unaweza Kuendesha Gari la £25,000 au ndio unawaunga Kina rooney utajiri.. wewe unazidi kudidimia.?? Huo Ni ushamba na sio maendeleo.. Amka.. utakufa maskini kwa kupenda vyenye gharama za kuwakandamiza.. wazungu wanakuona Nyani tu hata kama unavaa man u nyekundu full.. sana ndio wanazidi kukubagua.?? halaf kina furgie wanapepea tu na utajiri kwa hela za walalahoi kama nyie..Hivi ulishawahi kufikiria kununu Nyumba ulaya?? au Ndio utakaa kwenye Nyumba za Msajili mpaka ufe?? think Positively.. Halaf kama kila aliyeko ulaya angekuwa Mpenda sifa kama Wewe.. si tusingekalika humu.. We hata uweje wazungu wanakuona Ethnic minority tu.. Sana unaishia Kukobea madem wa kizungu wazeee hapo piccadilly.. Mi nipo Hapa Long time kama wewe lakini sina fikra hizo.. Piga shule uondokane na umasikini wa akili wewe.. Ebo.

    ReplyDelete
  14. Sikiliza ushauri wa anony hapo juu.

    ReplyDelete
  15. Mjomba ni haujatulia acha kudanganya watu wewe ni ulienda tour ya old trafford ambayo inakukosti £8 tu, kama kweli una season ticket basi kipige picha kitabu chako halafu ukilete kwenye blogu. Na hat bei ya season ticket hauijui, grow up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...