klabu maarufu ya bilicanas imefungwa kwa muda kupisha ukarabati mkubwa unaoendelea hivi sasa baada ya kutumikia wadau kwa takriban mwongo mmoja kwa ufanisi wa hali ya juu. kwa wasioifahamu hapa ndipo palipokuwa na rsvp discotheque ama mbowe enzi hizo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kumbe ndio mana MAISHA CLUB panajaa sana siku hizi!

    ReplyDelete
  2. ..eee bwana eee kumechoka ile mbaya halafu kuchafu kishenzi,angalia hiyo mivumbi hapo nje ni balaa tupu

    ReplyDelete
  3. mmhh baba paroko hayakupiti? umejaa kila mahali?itabidi binti wangu nimfungie asiende ngoma maanake unahatari,
    msononeka msufini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...