mmoja wa wanenguaji wa akudo impact akipekecha-pekecha mtindo ambao umekuwa gumzo la jiji baada ya kufunika mitindo mingine yote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Ha ha ha haaaa PEKECHA PEKECHAAAA!!! Anatisha mmmmmh!!!

    ReplyDelete
  2. sory michu si kwamba natania iam serious kwa hiyo naomba utundike swali langu.wanaume wanasema pekecha pekecha, na wanawake ni pekechwa pekechwa au inakaaje?akhsante,

    ReplyDelete
  3. Kaka hayo makovu mawili hapo kwenye paja la mguu wa kushoto vipi tena jamani?
    Aliungua moto alivyokuwa mdogo au?

    ReplyDelete
  4. Bongo maisha tambarare.

    ReplyDelete
  5. Huo mkorogo balaa,yani ni kituko.nenda kijijini ukalime dada.

    ReplyDelete
  6. Zimekwenda wapi mila na taaluma zetu, mwanamke kuwa nusu uchi hadharani.

    ReplyDelete
  7. Kweli Maisha magumu siku hizi inabidi utumie mbinu extra hata kama haziendani na mila na tamaduni zetu.

    ReplyDelete
  8. Mi nafikiri hii ndio mila na desturi yetu anayebisha amuulize babu wa babuyake zamani walikuwa wanavaaje kama sio wilikuwa wanafunika sehemu fulani sana upande wa mbele, na huko kwingine kunabaki kama kulivyo.

    ReplyDelete
  9. Hawa si walikatazwa na baraza la nini sijui kucheza uchi? Sasa hapo amevaa nini zaidi ya chupi na soksi? Yaani hiyo soksi imekuwa suruali? Halafu mie nashangaa mbona wanaume kwenye miziki wanavaa vizuri suruali na shati na sijaona mwanaume akiimba upi? Wanawake wana ugonjwa gani? Halafu ndio maana wamekuwa gumzo, kwa ukware wa watu wa Dar watakuwa wanaenda kuangalia hiyo shoo tu wala si kufata muzikki hizo buzuki za wakongo zote zinafanana.

    ReplyDelete
  10. KWANI HUYU MNENGUAJI NI MWANAMKE AU MWANAMME?

    ReplyDelete
  11. Mdada anajitutumua huyo balaa. Inaelekea katika show ya pekecha iliyopita Uongozi wa bendi ulikataa kumpa posho yake kwa kutojituma ipasavyo, sasa anaogopa kurudia kosa vile atalala njaa tena!! Duh, maana anajituma si kipole-pole.

    ReplyDelete
  12. Mdada anajitutumua huyo balaa. Inaelekea katika show ya pekecha iliyopita Uongozi wa bendi ulikataa kumpa posho yake kwa kutojituma ipasavyo, sasa anaogopa kurudia kosa vile atalala njaa tena!! Duh, maana anajituma si kipole-pole.

    ReplyDelete
  13. Auch!!!!!! mdada mtundu huyu.Bora tubebe mabox ughaibuni,kujiuza namna hiyo hapana.Alosto namna hiyo duuuhhh!!!! pekecha pekecha tena?????mbinu nyingine za maisha jamani!!!!!.

    ReplyDelete
  14. myahudi huyu dada,atunyima nini tena mmmmm!!!!???? jina lake shakwila au shanikwa???ndio starehe za bongo hizo ukitoka twanga pepeta unaenda pekecha pekecha.Maisha shwari ka bustani ya mnazi mmoja

    ReplyDelete
  15. well wanasema the more massive an object is the greater the kinetic energy.Work equals to force multiply by distance,mind you if one is missing work equals to zero.Kubeba mabox kunasaidia sana viphysics.Mdada is trying to create some work but is there any work???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...