mdogo wake hoyce temu naye kafanya vitu vyake huko ughaibuni kwa kunyakua ushindi wa tatu wa miss africa usa. nenda hapa http://www.missafricaunitedstates.com/index.php?option=com_zoom&Itemid=47

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Haaaa hakuna kitu hapa!! Niliyaona mashindano bureeeeee, tulikuwa tunafurahisha macho tu huyu mdada bwana bureee

    ReplyDelete
  2. Kaka michuzi dhamira yako ni kuua gangwe msemakweli na utanichoka tu hii kitu tena God knows!La!La! sasa ukipata namba yake safari hii nitakupa zawadi ya kwenda pema peponi maana fresh air unayo kwa sasa nimeona hali ya hewa ya bongo haifai i think its a global warming, We all need to do something.Ila hiyo kitu tena mama yangu!ipo america sehemu gani niifate hata kwa ungo.

    ReplyDelete
  3. Mhhh mtoto saaaaaaafi. Lakini kasoma, maana asiwe yuko kwenye urembo, kichwani 0

    ReplyDelete
  4. Niliwaambia mshindi lazima wampe Mnigeria wao. Hela zao wapeleke kwingine haiwezekani kabisa.

    ReplyDelete
  5. Demu anapenda masifa huyu sijaona...

    ReplyDelete
  6. hongera sana! Ila ume stukia unatambulishwa kwa jina la dada?

    ReplyDelete
  7. aaa kwa nguo hiyo .....naona hao majaji wamekupendelea tu....u look ugly! kama mie ndo jaji hata nafasi ya tano usingechukua.

    ReplyDelete
  8. Michuzi nae sasa huyo ni ushindi kweli maana umeona wasichana walio kuwa kwenye hilo shindano wabayaaa kwahiyo angejitahidi hata kufika wa kwanza sasa watatu du huyu demu ameangaika sana na mambo ya urembe bila mafanikio mshaurini aachane na hayo mambo yameshindikana kwake konsetireit kwenye mambo mengine sio kwamba kutokua mrembo ndio kufeli maisha mbona ni msichana wa kawaida tu achukizi wala nini ni ushauri wangu tu mimi kama MTANZANIA

    ReplyDelete
  9. Michu! i dont wana here these o called wawakilishi wa nchi esp...hawa dizaini flani za wasanii kama richard na huyu temu...you know wat dude, laki moja dola alizochukua ni zake, yule lucy kihwele amesema watu wakamlaki pale apt lkn, wamemtia kwenye gari kimyakimya bila wadau kumuona...ilikuwa na maaana gani kuwaambia wakampokea?? wanabooooa kama wanataka tukamuangalie kwa kiingilio

    ReplyDelete
  10. Naskia huyu demu hakushinda kwa sababu anajipaka lipstiki nyingi mno midomoni

    ReplyDelete
  11. Kwanza nianze kwa kumpongeza huyo dada kwa kuitangaza bongo, mujitu mingine inaongea vitu kama ina uharisho wa maneno ni kukashifu wenzao tu mwacheni dada wa watu ale raha kama nyinyi mmechemsha ni shauri yenu.Tujifunze kupeana moyo na si kupakana matope bongo ni ya kila mtu na kila mtu ana nafasi ya kuitangaza bongo hata kama ni mchinja kuku maarufu kutoka bongo bado ni mbongo hawezi kugeuka dada idd amin.Acheni kuongea ujinga kwenye net na unatumia mwavuli wa anonymous just grow up and get the blood fact. We all Tanzanians. hata kama ni mmasai,mpemba,mjaluo whatever.

    ReplyDelete
  12. mhhhhh, hiyo pozi mie hata siielewi, yaani utafikiri yuko kwenye mchezo wa kuvuta kamba!!! au mboa kama anatambaa na ukuta, kwani vipi?! kama mapozi yenyewe yaliyotumika ndio haya basi ana kila sababu ya kuchemsha.. hongera hata hivyo kwa kuchukua hiyo nafasi ya tatu

    ReplyDelete
  13. Sketi kama hii aliivaga bibi angu (grandma) siku alipo-graduate form four (38 years ago)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...