waandishi wa vyomb mbalimbali vya habari wakiongea na richard asubuhi hivi sasa holiday inn dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaka Michu... Hivi jamaa alioga leo?.. alikua hanukinuki?... Hio shati yake anaivaa kila siku...

    ReplyDelete
  2. Hizo nywele zzake zilipataga rangi au ni nini kila siku najiuliza zinanitia kinyaa sanaaa

    ReplyDelete
  3. JAMANI MICHUZI NAOMBA UWAFIKISHIE UJUMBE WAMPIGE HUYO RICHARD MAKE OVER YA NGUVU NI CELEBRITY NOW MBONA MAVAZI YAMEGOMA? JAMANI ANATAKIWA AWE NA MAKEUP ARTIST, MPAKA WA KUSAIDIA MAVAZI ANATAUANGUSHA NGUO TOKA ZA BIG BROTHER MPAKA LEO? PLS HE NEED TO CHANGE COMPLETE NA KAJEANS KAKE KAKUBANA LOH RICHARD HUKUFANYA SHOPPING MARA BAADA KUSHINDA SOUTH AFRICA PLS ACHA KUTUABISHA CHANGE KILA KITU PLS

    ReplyDelete
  4. Nakubaliana ni kweli looks na mavazi yanahitaji updates! Sasa dada Linda huu ndiyo wakati wakumtafutia brother viwalo vya katalog (designer) from USA ili aendelee kuonekana kama celebrity. Simple but neat! It just takes a simple shirt and a nice pant with the hair do! A man looks sharp!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...