
bbc wanasema bwawa la maini limegeuka kuwa la magoli leo huko ubatani baada ya kuigalagaza besiktas mabao 8 kwa mtungi. duh! hii hatari. bofya hapa uhakikishe. kumbuka: tarishi hanyongwigwi...
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bwana Michuzi...Alah..nilidhani umehama chama maana sijakusikia siku nyingi ukiongelea mambo ya Liverpool...Ahaaaa ahhaaaaaaaa... Utachonga sana kwa kuwapata vibonde.. I am glad mechi na Man U haiko mbali sana..tafadhali usikimbie
ReplyDeleteKaka Michu kweli tarishi hanyongwigwi! hahaaaa kumbe ushindi ni mzuri
ReplyDeletesafi sana furaha kubwa bwawa la maini kweli benitez kaamua mourinho asitie mguu anfield
ReplyDeleteDuh, huyo mshkaji wa Liverpool huko nyuma ni mrefu Balaa!!!
ReplyDeleteHahaha Bwana Michu, hata mie nilijuwa umehama timu yetu manake mie liverpool damu. bora ulivyokuwa huweki pic tukifungwa aibu tupu utani ungezidi. ila tutarudi kulekule timu yetu haitabiriki Ligi bora achukuwe yule wapemba wanasema Arsenali(arsenal) kuliko timu ya wahindi manchester united, sorry sijajaribu kuwa mbaguzi nasemea ukweli Liverpoolfc sasa wajaribu point 1 kuwa 3. ligi jamani inaisha May sio X-mas kama Mama United wanavyojidanganya. Alex fargot wacha kushambulia wageni wa wanger, hizo ni club sio Taifa. Rafa Rafael Rafa Rafael Rafael Beniteeeeeeeeeeeez. hafukuzwi mtu hapa. angalau tumerudi kuongea kwenye maoni hahaha.
ReplyDeleteama kweli kipofu kaona mwezi..kiziwi kaweza ongea na simu basi fuuuujo kweliii..nyie huyo kocha wenu sio kuwa hafukuzwi..ila kaweza ongeza salio kwenye account yake tuu..soon anamfuata mwenzie mourinho...endeleeni kujipa moyo na kujifariji...mpaka mje old trafford mmeshashuka nafasi za kumi na kitu hukoooo full migogoro ka simba na yanga zetuu
ReplyDelete