
saaa 12 na dk. 40: hapa ni lonji ya safari za ndani katika uwanja wetu wa eapoti ya dar asubuhi hii ambapo ndege ya shirika la nanihii iliyokuwa iruke saa kumi na mbili asubuhi imechelewa kidogo kwa kile mtangazji wa kike alichosema kuwa matatizo ya kiufundi na sasa kasema itaruka saa moja na dakika 45 badala ya moja kamili aliyoahidi awali.
saa 2 na dk. 25: kimya, hakuna tangazo lolote lililotolewa. hawa wahudumu wenye visibao vya njano hawana msaada wowote kwani wanasema hawajui kitu. mdada mmoja kavaa kiraia (suruali ya kubana, sendoz na kishati mikono mifupi) anakuja juu anapoulizwa kwa nini hakijatangazwa kitu dk. 45 baada ya saa saa moja na dk. 45 kwa mujibu wa ahadi ya awali. wengine wanacheka, sijui kwa nini. abiria wanaanza kuja juu, kwa nini hawaambiwi kitu.
saa 2 na dk. 35 sauti nyororo inatangaza ndege iko tayari na abiria wanaelekea kupanda ndege, baada ya jamaa kutoka chini kuja kusema mambo ni mswano...


michuzi na wewe una visa tu. Huu ni ubaguaji wa wanawake. Kwani ni lazima useme mtangazaji wa kike? Why do you have to involve gender?Kwanini usiseme mtangazaji bila kusema kama ni male au female?
ReplyDeleteMichuzi poleni sana.
ReplyDeleteIl akuna kitu inanikera hapo Kuna Dada Mmoja mnene hivi anavaa kijamba koti cha njano ni wakala wa Qartar nafikiri huyu dada anapenda pesa kuliko "Wallet" na malalamiko haya nimesikia kwa watu wengi tuu akikuona kijana umevaa cheni anakuja ohoooo tunajua kazi yako sasa tutoe kabisa na rushwa yake ni dola 100. anakera sana.
Dah.....!!! Hivi ni lini na sisi tutabadilika jamani?? Kila siku zinavyozidi kwenda naona ndio mamboa yanazidi kuwa hovyo loh!! Hapo Airport hilo ni jambo la kawaida sana,kuambiwa ufike hapo muda fulani halafu mnakaa tu bila hata kupewa taarifa ya kitu chochote kinachoendelea,kuna siku hapo nilikuwa nakwenda Nairobi,tulikaa bila taarifa ndani ya saa nzima nanusu,halafu baadae ndio tunaambiwa kuwa ndege iko ok!! Dah....Pasua kichwa tu hapo!!!!
ReplyDeletewe mtoa maoni wa 8:11 jaribu kupunguza ghazabu au hasira hapa michuzi anataka kutupasha uzembe wa shirika flani la ndege na si mtangazaji of course kama mtangazaji alikuwa wa kike kuna tatizo gani brother Michu kumdescribe? ni ninyi wenyewe ambao nao days kwenye functions mbalimbali msipokuwa described mnakuja juu "ooooooo amechukulia kama kuna wanaume tu hapa huu mfumo dume sijui utakwisha lini.....?"!Leo Michu kadescribe imekuwa makosa na hata tunapokosea tuwe tunatambulishwa tu!pole sana mtoa maoni wa 08:11 hapo juu.
ReplyDeletemista,acha kuficha masuala nyeti kama ya kwenda na muda ,pasua jipu litaje shirika husika.ili siku nyingine iwe somo maana inakuwa tabia.tujali muda kwani muda hautusubiri
ReplyDeleteHapa ndio tofauti na ulaya inapokuja, hata tukijenga skyscrappers, flyovers nk, lakini kama mambo ni haya bado tutakuwa hatujaendelea!! Maendeleo sio majengo tu ni service na ustaarabu ambavyo bongo hakuna!!!
ReplyDeleteMbona hata USA michemsho ni hiyo hiyo. Tusiiseme sana nchi yetu hata nchi zilizoendelea ndge zinachelewa kila siku na saa nyingine hata hawakwambii kama ni muda wa saa moja. Ila ukipiga simu kwenye CS yao ndio watakwambia.
ReplyDeleteIla huo utaalamu wakuwaambia kuwa ndege imechelewa kwa ajili ya matatizo ya kiufundi....hiyo ndio bado nyuma kidogo. Kwa wenzetu ikitokea sababu hiyo wanawaweka kwenye ndege yao nyingine au ya shirika lingine. Hiyo sio excuse kabisa. Na hutakiwi kuwaambia watu hivyo. Watu wengine kwanza waoga wa kupanda ndege halafu unawaambia hii ndege ilikua ina matatizo muda sio mrefu. Kweli uniambie ndege ilikua imeharibika halafu utegemee abiria watapanda kwa moyo mmoja kweli? Wasemage sababu zisiszozuilika sio kiufundi. (Kuna bill of passanger rights siku hizi)...
Thank god someone mentioned about abroad countries having the same problems of delaying flights. I reside in the USA, flights are always delayed more than 2 hours. Tanzanians, let us stop smearing our country like we are not part of it. All this negativity is not necessary.
ReplyDeleteThink before you make stupid comments. If you have got nothing good to comment, just shut it.
Annoyed Tanzanian.
we anon Sunday, November 4, 2007 12:46:00 AM EAT na mwenzako anon Saturday, November 3, 2007 9:09:00 PM EAT sijui mnakaa USA ya wapi? kama mnakaa USA basi nyie ni wazee wa greyhound hamjui hata airport zikoje. Marekani airport kuna tv screen kila sehemu zinakupa status ya ndege yako hata kabla haijatoka huko inakotokea. There are very RARE case of delay here! halafu ukiulizia airline attendant watatabasamu mpaka basi tu, uliza airline attendant bongo uone watakavokukunjia sura
ReplyDeleteanoy 12:46 acha ubishoooo tu hapa as if you are the only one who lives in the US. Hizo cancellations and delays kila siku kuna mtu anakupa reason. Wenzako wameeleza ukweli. Delays na cancellation ziko kila mahali sio TZ tu. Mascreen na tabasamu wapi!!!! Umeangalia kipindi cha airline...umewwaona wanatabasabu kila mara? Mwenyewe ndio unaanza kujihekesha ukitaka kuuliza na your heavy deep accent hata basi unaona wanakuchekea. Toa ujinga hapa kujifanya tu. Sio kila mtu anatabasamu USA.
ReplyDelete