nimekuja huku kujipa semina elekezi kwa muda. ila nataka kuwahakikishia wadau waliotabiri mchezo wa leo jioni kati ya Arsenal na Manchester United wala msikonde kwani hata huku nitakuwa macho na.
kumbuka: endapo wadau zaidi ya mmoja watakuwa wametabiri sawa itachezeshwa droo kumpata mshindi mmoja. vile vile mnaopitia mlango wa nyuma (kwa kunitumia email moja kwa moja) na kuacha kuposti utabiri wenu humu ili kila mtu auone mjue mmeula wa chuya; utabiri wenu hautohesabika
mambo yakienda mswano mshindi wa $500 nitamtangaza chap chap baada ya kupitia tabiri zote


MANCHESTER 1
ReplyDeleteARSENAL 3
rdor7819@hotmail.com
mimi naitwa david robert toka tabata kimanga.
ReplyDeletenatabiri ARSENAL ITASHINDA KWA MABAO 3 KWA BILA.
SIMU 0755411625
Michu vp kaka? Manchestar United lazima ishinde kaka.reen_minja@yahoo.com.We tuwasiliane kwenye mail ili nijue zawadi yangu nitaipataje kaka.
ReplyDeleteNAITWA JAMES.ARSENAL ITASHINDA BILA MJADALA HAIJALISHI MAGOLI MANGAPI ILA USHINDI NI WA ARSENAL.jaygulaka@yahoo.com
ReplyDeleteMANCHESTER UNITED 3-ARSENAL I
ReplyDeleteARSENAL LEO HATUBONYEZI KIZENJI, TUNABONYEZA KIBARA HIGH SPEED
ReplyDeleteARSENAL 9 MAN 0
KUDADADEKI
EMAIL ADDRESS
Mmkandamizaji@yahoo.co.uk
Kaka Michuzi Salama?
ReplyDeleteArsernal 0 Manchester 0
isabellaghaty@yahoo.com
arsenal 2
ReplyDeleteman utd 2
plasmalaf@hotmail.com
manchester 2,arsenal 2.,mr kulamba chumvi.
ReplyDeleteMANCHESTER 2 na ARSENAL 0.matijay@hotmail.com
ReplyDeleteNaitwa Reen,Man 3,Na Arsenal 0.reen_minja@yahoo.com
ReplyDeleteMAN U 2 ARSENAL 0
ReplyDeletebabyjemmy@hotmail.co.uk
man 0 arsenal 0 kmashir@gmail.com
ReplyDeletembona mnanibania,mimi kulamba chumvi,natumaini nimeshinda hili shindano lakini hamkubandika utabiri wangu au niwaelewe vipi
ReplyDeleteArsenal 1, Manchester 1.
ReplyDeleteArsenal, 1
ReplyDeleteMan United, 0
ARSENAL 2 NA MANCHESTER 2,LEO WATATOKA MBILIMBILI.
ReplyDeleteNaitwa Matilda,Leo watafungana mbili mbili yaani MANCHESTER 2 NA ARSENAL 2.cool_matilda@yahoo.com
ReplyDeleteMichuzi hilo shati mbona unalipenda sana au ndo hilihilo moja.
ReplyDeleteMizhuzi, asikudanganye mtu. Hilo shati lako ni "trade mark" yako, usiyumbishwe na mtu.
ReplyDeleteumepiga PALA
ReplyDelete