Dear Lovers, (of poetry I mean! what did you think?)
Poetry nite is here once more. We meet on Tuesday 27th NOVEMBER 2007, from 19H00 at A Novel Idea Slipway. Theme for the nite is "GROWTH". Swahili poems are strongly encouraged, or a poem in any language for that matter. We shall listen as you read, and probably ask for a translation.
We love to sit on the floor, so please bring a mat or cushion along, plus that friend who could get inspired somehow.
* Reminding each member to contribute TShs. 3,500/= for refreshments and drinks.
* Also visit our blog at http://fananiflava.blogspot.com for more insight into what we are all about.
* Mucho gracias to "A Novel Idea" staff and management, for sharing their space and time with us all. We continue to enjoy the 10% discount on any book purchase
Asanteni,
Clara
co co coordinator



Mhhh...kama kiingereza hakipandi basi kwa mwendo wa kiswahili tutaelewa.
ReplyDeleteMbona gramma mbovu hivyo...paragraph moja mistakes zaidi ya 4....
Ili watu wakuchukulie serious kama unaandika kitu tumia lugha fasaha.
Sorry lakini bila kuambiana ukweli hatutaendelea na kama wewew ni mtu unajua lugha hiyo kwa fasaha usiige wabongo wanaopenda kulipualipua mambo.
Anony wewe sasa naona una hamu tu ya kuponda kama nia yako ingekuwa kukosoa ili kuboresha basi angalau ungetoa mfano kakosea wapi na ilitakiwa iweje.
ReplyDeleteKuponda tu jumlajumla kunaashiria kuwepo kwa upungufu mkubwa zaidi kwa mpondaji kuliko kwa mpondwaji.
we anoni we, kwanza umechanganya lugha, umeshindwa hata kuandika grammar ipasavyo, umelipualipua.
ReplyDeleteKwa kifupi, hujatumia lugha fasaha hivyo kwa kutumia kipimo chako wewe mwenyewe ulichokitoa basi na wewe hatutakuchukulia serious!