mwanariadha mwenye mafanikio makubwa kuliko wote bongo ni filbert bayi ambaye pamoja na kuendeleza libeneke kama katibu mkuu wa kamati ya olimpiki ya taifa pia amejenga shule za msingi na sekondari zenye mchepuo wa michezo katika azma yake ya kukuza vipaji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongera sana Bw Bayi!Nchi yetu inahitaji wazalendo kama wewe kwa wingi tu.Mungu akuzidishie.Kila la heri mheshimiwa.

    ReplyDelete
  2. Kwa taarifa yako bwana michu huyo FILBERT BAYI kawekwa kama kanyaboya tu pale
    Hizo ni shule za Mkapa

    ReplyDelete
  3. michuzi tanzania kuwa nyuma kimaendeleo hakushangazi, maana just imagine katika historia ya riadha tanzania amewahi kujitokeza mwanariadha mmoja tu,filbert bayi,hawa wengine i am sorry to say hawajawahi kuwa world class

    ReplyDelete
  4. wabongo kwa kuskutua, mh...hata kama amewekwa kanyaboya na mambo yanaenda si tumpe mtu sifa yake??? fananisha wale waendao nje na kuwatumia ndugu zao pesa wawajengee, ha ha haaaaaa, wengi walilamba ya chuya!!!! Mzee Bayi endelea na kazi nzuri Garma Saita!!!!

    ReplyDelete
  5. FEREDERIKI SUMAAAAYE!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...