wengi tumesikia kwamba bongo imetoa bonge la komesho kwenye cnn lakini hatujawahi kuliona. basi mdau wetu wa newala ametutatulia kitendawili hicho. basi nenda http://www.tzcommoncents.com/ uone vimbwanga hivyo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kweli Tanzania bado sana.Yaani komesho ndio inakuwa habari kabisa?Duh..Wakenya wana haki ya kutucheka aisee.

    ReplyDelete
  2. Si sawa kuwa waKenya wana haki ya kutucheka!Huko kwao kuna mengi ya kucheka,niamini.Kila nchi imepitia haya tunayopitia kwa kiwango chake.Hata sisi kama wengine tutafika tu.Mambo mazuri hayataki papara.Muhimu tuyafanye wenyewe sio kufanyiwe na wageni.Hongera sana kwa aliyetoa hiyo 'komesho'.

    ReplyDelete
  3. Mimi nafikiri kutokana na muda isingewezekana kuweka kila kitu, kumbukeni hiyo ni tv commercial unapewa sekunde kadhaa na nafikiri hiyo ni ya sekunde sasa angeweka nini? Lakini hata hivyo inategemea alikuwa anawalenga kina nani kama ni watalii basi amejitahidi sana kuna vitu vyote vya muhimu kwa utalii kama animal migration ya serengeti, mlima kilimanjaro, beaches, hasa Zanzibar ambayo ina super beaches, kuna ngoma kwa ajili ya cultural tourism. Nampongeza sana huyo aliyetengeneza hiyo commercial, kama mtu ana uwezo wa kutengeneza na yeye atengeneze apeleke BBC akalipie au hata huko CNN, ABC na kwingineko, sio kusagia kazi za wenzenu wakati efforts zenu hatuzioni. Wewe unayeona ni baya umeshafanya nini kuitangaza nchi yako, kuna wengine huku hata kiswahili wanaona aibu kuongea, na akukisikia unaongea kiswahili anajifanya hakijui, mtu kwao japo porini. Mkataa kwao mtumwa!!

    ReplyDelete
  4. Naomba mlio bongo mwambieni Waziri Magembe kuwafukuza wazungu kwenye secta ya utalii ni ukihiyo plus umugabe ambao utatuletea long term effect.Afikirie sana kabla hajafanya hivyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...