jk akisalimiana na mwenyekiti wa chadema mh. freeman mbowe huku mzee mengi akisubiri zamu yake wakati wa hafla iloandaliwa kwa heshima ya rais wa comoro ikulu huko nyuma. uzuri wa siasa za bongo ni kutofautiana bila kugombana kwa masilahi ya nchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. We Michuzi Mshamba kweli kweli, swala la siasa sio ugomvi, nani kakwambia ni ugomvi..

    Mswahili mswahili tu!

    ReplyDelete
  2. Nice suit Freeman

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...