hii ndio kibo palace ambayo ni hoteli mojawapo kali sana a-taun

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HII HOTEL NI YA MHESHIMIWA MMOJA WA
    NGAZI YA JUU SANA SERIKALINI.
    ANA MAHOTEL NA MA-TOUR GUIDE HUYO
    ANA PESA KAMA MCHANGA.NI KATIKA
    KUNDI MOJA WAPO LA CCM LENYE JINA
    LA KUNDI FLANI LA MZIKI KULE MAJUU
    KAZI KWELI KWELI

    ReplyDelete
  2. Eti nasikia Mtu mmoja "Mfupi" kuliko wote huko ngazi za juu serikalini nae pia ana shea hapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...