wadau wa a-taun tufahamisheni...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hapo ni tengeru Michuzi

    Dada T

    ReplyDelete
  2. NO! kushoto ni AICC Club na barabara ni ya kijenge - Downtown. picha ni toka Impala Hotel

    ReplyDelete
  3. nafikiri ni kijenge

    ReplyDelete
  4. Michu.. Hapa ni Kijenge tena hii view umeipata kutokea Impalla Hotel. Utakuwa umepiga picha tokea moja wapo ya vyumba vya Impalla Hotel. Kinacho Onekana kwa karibu hapo ni barabara inayokwenda kwenye makutano njia nne moja inaenda mjini(New Arusha) nyingine Njiro Hill ilipo ESAMI na njia nyingine inaenda huko ilipokuwa Hotel 77) Mbele kwa karibu inaonekana iliyokuwa inaitwa AICC club (kijumba cha mviringo, wana supu nzuri sana pale). Hili jengo upande wa kulia wa picha mbele ya uwanja mkavu mkavu hili lilikuwa jengo ni jengo la kuchezea mpira wa squash enzi hizo.. sijui linamilikiwa na nani siku hizi. Naandika ujumbe huu toka Washington DC ambapo ndio naishi toka mwaka 93. Nimekuwa naenda Arusha mara kwa mara baada ya kuhamia hapa USA kubeba maboksi.

    Ni mie mdau wako
    former a-townian (FAT)

    ReplyDelete
  5. nafikiri ni kijenge round about

    ReplyDelete
  6. Hapo ni maeneo ya kijenge na huo uwanja wa mpira imo ndani ya AICC Club karibu ni mzunguko (round about) mkubwa kuliko zote hapa Tanzzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...