Home
Unlabelled
kilimnajaro staaz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tinoko anatafuta nini hapo? timu yake ya vijana imemshinda? huu si ndio wakati muafaka wa kusuka kikosi imara cha timu ya vijana ili maximo aune kirahisi humo? au anavizia posho tena, wakati mgao wa taifa stars alipewa yeye ilhali msaidizi wake marsh alinyimwa?
ReplyDeleteHivi Kilimnajaro ni nini?
ReplyDeleteNa mimi namshangaa Tinoko, si ilibidi awe anafukuzana na yosso? Lakini hii idea nzuri, kuweka kambi mjini vishawishi ni vingi!
ReplyDeleteHii safi...
ReplyDeleteImenikumbusha ile mechi ya mwisho ya Arsenal na Man. Ivi ile zawadi ya $500 imeishia wapi? mbona kimya??
yaani hawa so called waekezaji hakuna kodi wanayolipa halafu ndio wanatoa tuhela kidogo ili kutupooza kwa kuikaribisha stars huko machimboni!! walipe kodi yetu Tanzania is crying for her wealth!
ReplyDelete