timu ya taifa ya bara kilimanjaro staaz wakiwa kwenye tizi huko bulyanhulu, kahama. hii ni mara ya tatu kampuni ya barrick gold kudhamini mazoezi ya timu ya taifa huko migodini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. tinoko anatafuta nini hapo? timu yake ya vijana imemshinda? huu si ndio wakati muafaka wa kusuka kikosi imara cha timu ya vijana ili maximo aune kirahisi humo? au anavizia posho tena, wakati mgao wa taifa stars alipewa yeye ilhali msaidizi wake marsh alinyimwa?

    ReplyDelete
  2. Hivi Kilimnajaro ni nini?

    ReplyDelete
  3. Na mimi namshangaa Tinoko, si ilibidi awe anafukuzana na yosso? Lakini hii idea nzuri, kuweka kambi mjini vishawishi ni vingi!

    ReplyDelete
  4. Hii safi...

    Imenikumbusha ile mechi ya mwisho ya Arsenal na Man. Ivi ile zawadi ya $500 imeishia wapi? mbona kimya??

    ReplyDelete
  5. yaani hawa so called waekezaji hakuna kodi wanayolipa halafu ndio wanatoa tuhela kidogo ili kutupooza kwa kuikaribisha stars huko machimboni!! walipe kodi yetu Tanzania is crying for her wealth!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...