hii sasa lawama.... sijui hizi kandambili nilale nazo mbele....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Ondoka nazo tu baba wala hawatajua hahaha.

    ReplyDelete
  2. kama ulipewa zikiwa mpya kwenye plastic nenda nazo ukatumie home kama rangi nyeupe utaiweza kuitunza.sema kama havikuwa vipya kwenye plastic ningekushauri uwaulize wangapi mnashare nao hivyo na je usafi unaangaliwa manake miguu mingine noma msela usije ukabeba magonjwa ya ngozi.

    ReplyDelete
  3. kaka michuzi unaniuwa jamani mbavu chukua tu hizo ni mavazi yake ni mara moja tu hivi kaka michuzi nipe tariff ya hapo hotelini nije kufikia next time nikija bongo.

    ReplyDelete
  4. swali gani tena hili, we unataka mtu mwingine tena aje awepe hizohizo ili muambikizane fangasi?? inatakiwa ukimaliza kuzitumia una-trash kwa hiyo ukiamua kuondoka nazo poa tu, umezilipia hizo hujui tu

    ReplyDelete
  5. Wewe Michu, huko ni kujiumiza kichwa tu. Kandambili nyeupe, za soft velvet halafu ulale nazo mbele utavalia wapi?
    Kule kwetu Mbagala Kidichi hakuna lami, nyumba haina carpet wala tiles, bafu la kuogea liko nje tena halina sakafu, vumbi jekundu mtindo mmoja. Utazivalia wapi ndugu yangu?

    Wewe tafuta matairi ya ki-masai, kanyaga-twende mchezo umekwisha.

    ReplyDelete
  6. Kaka Michuzi, pamoja na kwamba nakuunga mkono kwa swali lako, napenda kuoengeza kuwa hizo ni zako unaweza kwenda nazo 2. Au ndiyo unataka kutuionyesha kuwa hata huko bongo mambo ni kama huku kwa mzee wa kichaka au kwingineko kwenye maendeleo?

    Swali langu ni kwa nini umeamua kuficha kucha zako? Au ndiyo hivyo tena hujawahi kuzikata kwani inaoenesha mzee kucha tatizo kwako. Inaonekana mzee kucha hazilipi au zimeshaharibiwa na mzee fangasi. Kweli hoteli zetu zinalipa.

    ReplyDelete
  7. Kihalali hizo ni zako. Zote ulishalipia kwenye bill wewe hujui tu. Ukiziacha wafagizi wanazichukua tu.

    ReplyDelete
  8. Agwegwe Mgwegwedo umenichekesha vibaya sana... kucha fangaso... sina mbavu hapa!!!!

    ReplyDelete
  9. Babu naona miguu imearibika kwa shoku dani enzi hizo hapo ZANAKI.

    ReplyDelete
  10. We Michuzi acha ushamba. Hayo ni MAKUBASI sio Kandambili

    ReplyDelete
  11. Kawaida ukisha ondoka yanachomwa moto na ukiondoka nayo umekwiba

    ReplyDelete
  12. Wewe anonymous wa tarehe saba Novemba saa 1:13:00 AM EAT hapo juu wewe ndiyo kichekesho kweli.

    Sijaandika fangaso.%$#@

    Kweli Nyani haoni......Napenda kusema kabla huja-critisize uwe na uhakika na unachotaka kukikosoa na uwe unakijua. Acha kukurupuka wewe.

    Au ndiyo kusema wewe una fangasi sasa unajishuku kwamba kila mtu atakujua unaumwa.

    Na ndiyo maana hujaandika hata jina zaidi ya kujiita anonymous kwa sababu hujui ulilotaka kusema.

    ReplyDelete
  13. lotion muhimu kaka.

    ReplyDelete
  14. We agwegwe tuliza mgwegwedo huo kama unakuwasha sema ukunwe, huwezi kuongea na mimi whats okay to you now was okay to me decades ago, our standards are not the same you feel me

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...