niko na wakali wa myuziki ya bakulutu wa a-taun onyango biro (pili shoto) na wenzake pamoja na mmoja wa mabosi wa ngurdoto usiku wa kuamkia leo. mwenye miwani ni anko omar makuka, soloisti matata ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa iliyokuwa dar international ya marijani rajabu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. OHH jamani kaka mike (onyango biro) ni rafiki ya mzee wangu sana nakumbuka tukiwa wadogo tunaenda New arusha hotel dinner pale anapiga band 1984 na mke wake dada Jane salamu kwa wote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...