jide akifaidi mandhari ya ngurdoto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. jamani, kuuliza si ujinga, hivyo jide anaye personnel assistant? mimi sisemi sana lakini anyway polepole ndio mwendo tutafika tu

    ReplyDelete
  2. MWANAMKE MGUU BABU, HALOOOOOOOO!!!!

    ReplyDelete
  3. hiyo stile ya JD inapendeza sana ukiva na party au leggings sio pekupeku tu nooooo.Naona apitie duka la zeze watamfahamisha zaidi ooops!!!

    ReplyDelete
  4. u look stunning babie

    ReplyDelete
  5. Kuiga kwengine kunatia kichefuchefu.Ndo kuvaaje huko?
    Ukisema Semina elekezi unamaanisha nini Micurry.

    ReplyDelete
  6. Jamani mbona mnasema bila mtazamo huyu yuko nchi yenye joto hizo parnty na joto la bongo? hebu mjusi kafiri muuweni haki yake apewe kapendeza lol,

    ReplyDelete
  7. pata zawadi http://youtube.com/watch?v=0CTiM20DySw

    ReplyDelete
  8. Jamani kuigatuige lakini tuige kiukweli kweli. Hebu wee Michuzi tuletee picha za wazungu tunaowaiga wakiwa hapo Ngurdoto tupambanishe tuone kama watakuwa wamefanana mavazi! Nataka Michuzi utuonyeshe picha ya dada wa kizungu akiwa hapo Ngurdoto ndio tunaweza kukoment, hivi hivi unatukwaza penginendio mavazi yenyewe yanatakiwa yawe kama hivyo! Si tunaiga wazungu!

    ReplyDelete
  9. No offence to her but I didn't like that outfit on her. The top is too loose for that style. The color is too dark on her.

    I like the shoes though......

    ReplyDelete
  10. Unajua wenzetu body shape zao tofauti sana na za kwetu. Kwa hiyo nguo zao ndio hivyo. Wenzetu wadogo chini wakubwa juu.


    Sasa always ukitaka nguo ikukae vizuri nunua juu small/cjini medium, au juu medium chini large etc.

    Hapo nguo hii ingempendeza sana kama angenunua top one size smaller that the bottom part.

    ReplyDelete
  11. tunaongelea fishnet leggings, hizo hazina joto hivyooooo, alafu arusha co joto ni hali ya hewa ya wastani yenye ubaridi kajua kwa mbali yaani, it is just lovely.

    ReplyDelete
  12. imenichukua masaa kupata fikra za kwamba, hao wanyama wa porini anaowapita lady jaydee ni wa bandia!

    ReplyDelete
  13. Duh!
    Kumbe Jide ndo ana miguu mibaya hivi!
    Mweeh!
    Jamani. Khaa!

    ReplyDelete
  14. Jamani sipondi wala si kawaida yangu lakini sio kila fashion itakupendeza jiangalie kwanza ujifahamu vizuri toka usoni mpaka miguuni ili ujue utafaa zipi na zipi uache.

    ReplyDelete
  15. Mavazi ni soo personal issue lakini inapokuja kwa Celebrity kila kitu unachofanya kinaangaliwa na public, anyway sijui, "do what u think is best for you" as longer as hujatembea uchi poa tu mwana.

    ReplyDelete
  16. bhukabhuka mwana mkalole kaasimbagu, kaabukaaa.....

    Mwanamke anapita nusu uchi lakini havutii hata kiduchu!
    Poa jide, unaruhusiwa ku-ignore maoni ya waosha vinywa, but message delivered.

    ReplyDelete
  17. hahahaah jamani bongo mnavyoiga eti joto wapi wewe watuw anavaa mabuti ya winter sebuse iwe leggings cha tena zenye fishnet walaa angependeza sana na angevaa rangi nyeupe maana hiyo hajanoga .For sure hana personal assistant au ni mbishi full stop. Kiatu kizuri ila walaa hakijaendana na mavazi sorry !!!

    ReplyDelete
  18. Jamani bila leggings akikaa si aibu tupu au akikunja nne?muangaliage na mavazi unaweza kiaibisha hivihivi maana akijisahahu tu unaona hadi ............kwa ukubwa na kijibukta

    ReplyDelete
  19. hebu watanzania mue mnatumia akili kwa maoni yenu yasiokua na maana,, wengine mnakaa mnakosoa miguu ya JIDE? hivi n wazima nyie? yaani aache kuvaa nguo anazopenda kisa ya miguu sio minene? kwani yeye kaomba? by the way nyie mnaosema hayo naneno yasio na mbele wala nyuma je mna uwezo wa kukosoa uumbaji wa mungu?
    Fikirieni maneo ya maana ya kuongea sio maumbile ya watu eboo!!

    MSEMAKWELI

    ReplyDelete
  20. HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
    jamanikapendeza sana dada wa watu wezu TUUUUUUUUU.HACHENI WINZU HATUFIKI HATUFIKI.

    ReplyDelete
  21. wewe anony. unaesema kwamba angenunua top one size smaller than the bottom, hizo size angezipata wapi? Kivazi kinaonekana kabisa kama ni mtumba. Wewe kwenye sagula uliona wapi mambo ya kuchagua size, kama kiwalo cha suti umekipenda unachukua hivyo hivyo kama top inapwaya, bottom imekukaa basi ndio hivyo hivyo unakwenda kuwatesa wapambe!

    Na huyo anony. aliesema kwamba angevalia na leggings. Sio lazima, she didnt has to... hivyo hivyo sema JD huwa hapendezagi hata avae nini! Hizo nguo ningevaa mimi ningetoka bomba kila mtu humu angenisifia na kuulizia contact zangu kwa Kaka Michuzi!

    ReplyDelete
  22. jamani hii blog watu kwa wivu?mnasema JD hajapendeza soon utaona watu wanaiga hii stylke yake mbona ma celebrity was nje wakivaa hivi kila mtu hapa ungeona wanavyomgagilia lakini kwa vile jide wa watu hajavaa standards wanazotaka watu eti hajapendeza. the point is JD kavaa vizuri and she does not need a PA who says u must wear leggings over everything acheni ushamba follow up fashion tips kuliko kuongea tu.
    baby gal u look stunning kwanza mambo ya ulegi mambo ya zamani mamiguu minene ya nini sasa.acheni wivu na hata kama mtumba umempendeza.all u loosers

    ReplyDelete
  23. hahahah hapo juu umejisifia kiaina hahahahah.Leggings ndio unaweza vaa au usivae ila wka usawa huu angevaa tu pekupeku no no kabisa.Ila nahisi Jd anajua fika hajatoka bomba anavaa kama style yake ya kicerebrity au nimekosea?tehetehehe

    ReplyDelete
  24. wewe unayesema mbona celebrity wa nje wakivaa watu hawasemi. Kumbuka macelebrity wa nje wako wengi na pia wanafashion stylist. Kwa hiyo hwavai nguo kwa vile iko kwenye fashion. Wanavalishwa nguo zinazokwenda na mwili wao.

    Watu wamesema hapo wengine wanasema ni wivu lakini hapa hamna cha wivu. Hicho kinguo hata kam uko vacation lakini basi kikae na mwili wako. Kama aliyesema nguo ni nguo lakini cha kwanza know your body. Ukishaujulia mwili wako ukajua nguo za style ani zinakupendeza na gani hazikupendezi.

    wasichana tunashida sio wavulana suti basi imetoka...tunashida nyingi...I don't mind her legs at all...kwa wamarekani hiyo miguu ya nguvu sana ila culture zetu wanataka mithupu.....

    ReplyDelete
  25. Dada kapendeza lakini uzungu wa kumsogelea faru namna hiyo atakutoa baru muulizeni crocodile hunter.OOps!!! he is dead

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...