Home
Unlabelled
mandhari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani, kuuliza si ujinga, hivyo jide anaye personnel assistant? mimi sisemi sana lakini anyway polepole ndio mwendo tutafika tu
ReplyDeleteMWANAMKE MGUU BABU, HALOOOOOOOO!!!!
ReplyDeletehiyo stile ya JD inapendeza sana ukiva na party au leggings sio pekupeku tu nooooo.Naona apitie duka la zeze watamfahamisha zaidi ooops!!!
ReplyDeleteu look stunning babie
ReplyDeleteKuiga kwengine kunatia kichefuchefu.Ndo kuvaaje huko?
ReplyDeleteUkisema Semina elekezi unamaanisha nini Micurry.
Jamani mbona mnasema bila mtazamo huyu yuko nchi yenye joto hizo parnty na joto la bongo? hebu mjusi kafiri muuweni haki yake apewe kapendeza lol,
ReplyDeletepata zawadi http://youtube.com/watch?v=0CTiM20DySw
ReplyDeleteJamani kuigatuige lakini tuige kiukweli kweli. Hebu wee Michuzi tuletee picha za wazungu tunaowaiga wakiwa hapo Ngurdoto tupambanishe tuone kama watakuwa wamefanana mavazi! Nataka Michuzi utuonyeshe picha ya dada wa kizungu akiwa hapo Ngurdoto ndio tunaweza kukoment, hivi hivi unatukwaza penginendio mavazi yenyewe yanatakiwa yawe kama hivyo! Si tunaiga wazungu!
ReplyDeleteNo offence to her but I didn't like that outfit on her. The top is too loose for that style. The color is too dark on her.
ReplyDeleteI like the shoes though......
Unajua wenzetu body shape zao tofauti sana na za kwetu. Kwa hiyo nguo zao ndio hivyo. Wenzetu wadogo chini wakubwa juu.
ReplyDeleteSasa always ukitaka nguo ikukae vizuri nunua juu small/cjini medium, au juu medium chini large etc.
Hapo nguo hii ingempendeza sana kama angenunua top one size smaller that the bottom part.
tunaongelea fishnet leggings, hizo hazina joto hivyooooo, alafu arusha co joto ni hali ya hewa ya wastani yenye ubaridi kajua kwa mbali yaani, it is just lovely.
ReplyDeleteimenichukua masaa kupata fikra za kwamba, hao wanyama wa porini anaowapita lady jaydee ni wa bandia!
ReplyDeleteDuh!
ReplyDeleteKumbe Jide ndo ana miguu mibaya hivi!
Mweeh!
Jamani. Khaa!
Jamani sipondi wala si kawaida yangu lakini sio kila fashion itakupendeza jiangalie kwanza ujifahamu vizuri toka usoni mpaka miguuni ili ujue utafaa zipi na zipi uache.
ReplyDeleteMavazi ni soo personal issue lakini inapokuja kwa Celebrity kila kitu unachofanya kinaangaliwa na public, anyway sijui, "do what u think is best for you" as longer as hujatembea uchi poa tu mwana.
ReplyDeletebhukabhuka mwana mkalole kaasimbagu, kaabukaaa.....
ReplyDeleteMwanamke anapita nusu uchi lakini havutii hata kiduchu!
Poa jide, unaruhusiwa ku-ignore maoni ya waosha vinywa, but message delivered.
hahahaah jamani bongo mnavyoiga eti joto wapi wewe watuw anavaa mabuti ya winter sebuse iwe leggings cha tena zenye fishnet walaa angependeza sana na angevaa rangi nyeupe maana hiyo hajanoga .For sure hana personal assistant au ni mbishi full stop. Kiatu kizuri ila walaa hakijaendana na mavazi sorry !!!
ReplyDeleteJamani bila leggings akikaa si aibu tupu au akikunja nne?muangaliage na mavazi unaweza kiaibisha hivihivi maana akijisahahu tu unaona hadi ............kwa ukubwa na kijibukta
ReplyDeletehebu watanzania mue mnatumia akili kwa maoni yenu yasiokua na maana,, wengine mnakaa mnakosoa miguu ya JIDE? hivi n wazima nyie? yaani aache kuvaa nguo anazopenda kisa ya miguu sio minene? kwani yeye kaomba? by the way nyie mnaosema hayo naneno yasio na mbele wala nyuma je mna uwezo wa kukosoa uumbaji wa mungu?
ReplyDeleteFikirieni maneo ya maana ya kuongea sio maumbile ya watu eboo!!
MSEMAKWELI
HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
ReplyDeletejamanikapendeza sana dada wa watu wezu TUUUUUUUUU.HACHENI WINZU HATUFIKI HATUFIKI.
wewe anony. unaesema kwamba angenunua top one size smaller than the bottom, hizo size angezipata wapi? Kivazi kinaonekana kabisa kama ni mtumba. Wewe kwenye sagula uliona wapi mambo ya kuchagua size, kama kiwalo cha suti umekipenda unachukua hivyo hivyo kama top inapwaya, bottom imekukaa basi ndio hivyo hivyo unakwenda kuwatesa wapambe!
ReplyDeleteNa huyo anony. aliesema kwamba angevalia na leggings. Sio lazima, she didnt has to... hivyo hivyo sema JD huwa hapendezagi hata avae nini! Hizo nguo ningevaa mimi ningetoka bomba kila mtu humu angenisifia na kuulizia contact zangu kwa Kaka Michuzi!
jamani hii blog watu kwa wivu?mnasema JD hajapendeza soon utaona watu wanaiga hii stylke yake mbona ma celebrity was nje wakivaa hivi kila mtu hapa ungeona wanavyomgagilia lakini kwa vile jide wa watu hajavaa standards wanazotaka watu eti hajapendeza. the point is JD kavaa vizuri and she does not need a PA who says u must wear leggings over everything acheni ushamba follow up fashion tips kuliko kuongea tu.
ReplyDeletebaby gal u look stunning kwanza mambo ya ulegi mambo ya zamani mamiguu minene ya nini sasa.acheni wivu na hata kama mtumba umempendeza.all u loosers
hahahah hapo juu umejisifia kiaina hahahahah.Leggings ndio unaweza vaa au usivae ila wka usawa huu angevaa tu pekupeku no no kabisa.Ila nahisi Jd anajua fika hajatoka bomba anavaa kama style yake ya kicerebrity au nimekosea?tehetehehe
ReplyDeletewewe unayesema mbona celebrity wa nje wakivaa watu hawasemi. Kumbuka macelebrity wa nje wako wengi na pia wanafashion stylist. Kwa hiyo hwavai nguo kwa vile iko kwenye fashion. Wanavalishwa nguo zinazokwenda na mwili wao.
ReplyDeleteWatu wamesema hapo wengine wanasema ni wivu lakini hapa hamna cha wivu. Hicho kinguo hata kam uko vacation lakini basi kikae na mwili wako. Kama aliyesema nguo ni nguo lakini cha kwanza know your body. Ukishaujulia mwili wako ukajua nguo za style ani zinakupendeza na gani hazikupendezi.
wasichana tunashida sio wavulana suti basi imetoka...tunashida nyingi...I don't mind her legs at all...kwa wamarekani hiyo miguu ya nguvu sana ila culture zetu wanataka mithupu.....
Dada kapendeza lakini uzungu wa kumsogelea faru namna hiyo atakutoa baru muulizeni crocodile hunter.OOps!!! he is dead
ReplyDelete