
PICHANI NI MASHBIKI WA MAN UN NA ARSENAL WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI UNIVESTI CHA IRINGA WAKISHANGILIA MCHEZO WA LEO HAPO CHUONI. HII NI KWA MUJIBU WA MDAU LUKELO AMBAYE NINA FURAHA YA KUMTAMBULISHA KWENU KUPITIA http://www.lukelo.blogspot.com/
NA HATIMAYE MATOKEO YA WASHINDI WA SHINDANO LA KUTABIRI MATOKEO YA MCHEZO WA SOKA LIGI KUU UINGEREZA KATI YA ARSENAL NA MANCHESTER UNITED YAMEJULIKANA NAMI NAOMBA NIWATANGAZIE KAMA IFUATAVYO.
JUMLA YA WASHIRIKI: 268
WALIOTABIRI KWA USAHIHI: 10
KUPATIKANA MSHINDI: ITACHEZESHWA DROO WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA NA MSHINDI MMOJA ATATANGAZWA KATI YA HAO 10 AMBAO NI HAWA CHINI. NAMBA YAO HAIMAANISHI NAFASI YA MDAU KATIKA USHNDI HUO BALI NI MAHESABU TU. WALIUOJITAMBULISHA KWA MAJINA NA SIO ANUANI ZAO ZA EMAIL NAO WAMESHINDA KWANI MASHARTI ILIKUWA NI KUTOTUMIA 'ANONYMOUS'.
HIVI SASA NIKO A-TAUN NA NAANGALIA UWEZEKANO WA KUFANYIA DROO HUKU AMA NITAPORUDI DAR WIKI IJAYO, ITATEGEMEA USHAURI WENU WADAU...
WALIOTABIRI KWA USAHIHI NI:
2. msemakweli
8. Abbas
10. mr. kulamba chumvi


Michuzi wewe basi tu. Umebadilisha. Ulisema wtu waandike email zao na hukumention jina. Ulitaka email kwanza ungesema email na jina basi watu wangefanya hivyo. Kwa nini kwatu kama mia na lakini wote wametumia email tu. Unafikiri wote ni wajinga? Ni kwa vile hukusema hilo
ReplyDeleteMICHUZI ACHA UTAPELI
ReplyDeleteWEWE UNAWEZA JUA COMMENT YA MTU IMETOKEA NCHI GANI
NILISHAONA STATISTICS ZAKO ZA WADAU HUWA NAAANGALIA NAKUONA ASILIMIA YA WADAU WAINGIAO KWENYE BLOG YAKO
HIVYO HIYO DROO UTAIFANYIA WAPI NANI ATASHUHUDIA NA PICHA ZA DROO UTATUMAA? NANI ATAANDIKA VIKARATASI HIVYO?
VITAKUWA SIZE NA RANGI MOJA?
UTAWEKA KWENYE BAHASHA?
ACHANA NA USEMI SEMA TUJUE RE DROO
MIE SIKUINGIA KATIKA SHINDANO ILA NAPENDA KUJUA MAMBO YANAFANYIKAJE KATIKA
USEMAVYO
Michuzi tenda haki,rejea kusoma masharti uliyatoa pale awali-ulisema watu watume na email zao na sio majina.
ReplyDeleteMijitu mingine (kama hilo hapo juu)mishamba kweli. We kumwita Michuzi tapeli kwa lipi? Hivi unadhani mtu kama huyo anaweza kutapeli ili iweje. Kama jina analo, pesa ya kumwaga, sasa wewe (bana pua) 'michuzi acha utapeli', nyoo aache kivipi? kwani kafanya nini kibaya hapo.Halafu unavyochekesha unaliza majibu. Nyooooo...Achana na ushamba, isitoshe hujacheza je ungecheza ingekuwaje.Mwacheni mwana wa mwenzenu atese na ubunifu wake ambao ndio unampa visitors kibao kila kukicha. We cheki juzi alikuwa mirioni mbili leo ni mirioni mbili na laki na ushee. blogu gani inapata watu kama yake. Basi ukiona hivyo wivu unawasumbua waswahili wa hedi nyie. Mkomeni Michuzi.Kila kitu kaweka wazi na keshakwambia atafanya droo. Unataka kusema wewe una akili kumzidi Michuzi. Anzisha blog yako ama utaweza. Mwana izaya wee...
ReplyDeleteMichuzi endeleza libeneke, achana a washamba wenye wivu kama huyo fala hapo. Wadau wengi, hasa hapa H-Town tuko nawe na pia kila kona Marekani wanakuona wewe ni kama Oprah wa Bongoland. Achana nao kabisa we fanye ile kitu roho yako inapenda...
Naunga mkono hoja ya anony wa 9:54:00 PM EAT. Kwa kweli watu wengine wanachefua. Michuzi kaweka kila kitu wazi. halafu anakuja mtu anaanza kulalama hata shughuliu haijaanza. halafu huyo mwingine naye anasema majina sijui nini. Hivi nyie hamsomi kwanza? Michuzi kasema anonymous hawatakiwi ndivyo kusema kujitambulisha ni kwa jina ama email. we badala ya kubisha walioshinda ama kushindwa unabishania jina. Nyie ndio waafrika wa kwanza mnaosababisha tuambiwe weusi hatunazo kwa ujinga kama huo....!!!!!
ReplyDeletewashindi wapo kumi hapo kila mmoja bora apate dola hamsini,maoni yangu
ReplyDeleteMpaka sasaivi uko sawa michuzi, wape uhalali waliotabiri sawa, na ambao wamefuata masharti ilivyotakiwa. Hata hivyo, pia tulitakiwa kuambatanisha na email address zetu, kwa hivyo, namba 2, 8 na namba 10 wasiwepo kwenye droo, maana watakosesha waliofuata masharti ya daktari vizuri, kwani hawakuambatanisha email address zao. Wape haki yao waliotabiri vilivyo...kwanza wanastahili pongezi kwa kubaatisha kuwa ngoma itakuwa droo ya 2-2.
ReplyDeleteASIYEKUBALI KUSHINDWA SIO MSHINDANI, WAPE WALIOTABIRI HAKI YAO, ILA SASA HAPO KWENYE DROO, NJIA NI KUANDIKA HIZO EMAIL ZAO EITHER KWENYE VIKARATASI VIDOGO, THEN KUFANYA HIYO DROO. INABIDI UHALALI UFANYIKE KATIKA HILO. HAO WATATU AMBAO HAWAKUWEKA EMAIL ADDRESS HAWAKUFUATA MASHARTI, I GUESS THEY ARE OUT FROM THE DROO. KAZI NZURI, ENDELEA KUTOA MASHINDANO KAMA HAYA....
ReplyDelete"MICHUZI ACHA UTAPELI
ReplyDeleteWEWE UNAWEZA JUA COMMENT YA MTU IMETOKEA NCHI GANI
NILISHAONA STATISTICS ZAKO ZA WADAU HUWA NAAANGALIA NAKUONA ASILIMIA YA WADAU WAINGIAO KWENYE BLOG YAKO
HIVYO HIYO DROO UTAIFANYIA WAPI NANI ATASHUHUDIA NA PICHA ZA DROO UTATUMAA? NANI ATAANDIKA VIKARATASI HIVYO?
VITAKUWA SIZE NA RANGI MOJA?
UTAWEKA KWENYE BAHASHA?
ACHANA NA USEMI SEMA TUJUE RE DROO
MIE SIKUINGIA KATIKA SHINDANO ILA NAPENDA KUJUA MAMBO YANAFANYIKAJE KATIKA
USEMAVYO"
Damn what makes you think he's going to con them out of the money?
There are 10 potential winners,and the winner will be chosen at random.Not to mention the competition is Online,so if you think it's a matter of A+B=C then you're a bit mistaken.
Michuzi,take your time,i'm sure the 10 contestants can wait a few more days.
kwa kweli natumia nafasi hii kuwapa pongezi walioshinda, pambano kama hili kutabiri droo ya mbili kwa mbili haingii akilinio. Michuzi hao walioshinda usichezeshe droo wape dola hamsini kila mtu, nadhani watakubaliana nami maana kwa upande wangu naona wote wanastahili wakubaliane tu kugawana
ReplyDeleteBraza Michu eeee...dah, ebwana mimi ni mmojawapo wa hao hapo juu tulofanikiwa kubahiri kuwa watatoka droo. Sasa kwa swala zima la zawadi, kwa kuwa wote hao kumi tuli'gess na kupatia, inabidi wote tuzawadike..Sasa kwa ishu ya $500 inakuwa hafifu, mwambie mfadhili aongeze dau kidogo, walau kila mtu apate apo kitu.
ReplyDeleteAu kama angepatikana mfazili mwingine fasta, ingekuwa shwari sana...maana ishu ya kuchezesha tena bahati na sibu, kwanza uchezeshaji wake itakuwa tena ishu..Fikiria hii mambo braza. Maana ukitoa kwa mmoja yote, dah, tutajiona kama na sisi tuli guess rong'.NI HAYO TUU.
braza michu mie nawapongeza walioshinda maana na mie nilitabiri ila sikupatia...asiyekubali kushindwa sio mshindani...
ReplyDeletesasa ikiwezekana braza michu pata wafadhili zaidi..angalau hata hao kumi wotee wakipewa dola hata 30 au ukipata fungu kubwa basi kila mtuu apate dola hizo hamsini..though ni kweli ulisema kutakuwa na draw..ila hapo kidoogoo watu wataingia kwenye kishwawishi cha kuamini haki itatendeka hapo braza...
ni hayoo tuu
braza michu mie ni mmojawapo wa hao kumi waliofuata masharti yoote ikiwemo kuandika email na sio jina..na kutabiri sawa sawa...
ReplyDeletesasa braza naomba muangalie hizo email vyema as nyingine mmekosea kuziandika na sio kama wenyewe watabiri walivyoandika..isije ikaleta kizaa zaa baadae mojawapo ni email yangu mwenyewe mmeikosea...
ni hayo tuu nasubiria dola zangu...
aisee tendeni haki watu walitakiwa wafuate masharti..waandike email na sio majina mbona mmeanza wapachika wengine?mwadhani mmojawapo wa hayo wenye majina tuu akishinda itaonekanaje?
ReplyDeletehao namba mbili,8 na kumi watoe wanatakiwa wabaki hao saba tuu michuzi..
ooops nilijua zawadi ilikua dola hamsini kumbe ni dola mia tano...basi wapewe hata dola 300 mia tatu ama dola mia nne kila mmoja alafu angalia usije sababisha hali ya kutoaminika..naona ushaanza lalamikiwa kiuka ur own taratibuz..
ReplyDelete