
kocha wa taifa marcio maximo akiongea na waandishi wa habari leo dar. amesema anakwenda durban, sauzi, alhamisi kuhudhuria droo za makundi ya mabara katika michuano ya kutafuta tiketi ya kucheza kombe la dunia na pia kuongea na viongozi wa brazil kujaribu kuwashawishi timu hiyo ije kupiga kambi bongo wakati wa kombe la dunia 2010.
kuhusu kwa nini yeye anakochi timu ya bara kilimanjaro staaz wakati yeye ni kocha wa taifa inayojuimusha zenj , akasema yeye kaja kufundisha soka na sio kuleta siasa kwenye michezo. hakutaka kuendelea zaidi.


MJOMBA ANA TABIA YA KUZILA NINI?
ReplyDeleteChonde baba Maximo.....Wakionyesha kukubali ujue bao mwanangu. Itaundwa tume ya kuileta Brazil bongo na gharama zake zitalipiwa na walala hoi (kumbuka Real Madrid, na mwishowe hawakuja lakini tume iliundwa na ulaji walivuta mwanangu)..... Bongo kaa pazuri na hautakufa njaa mwanangu.....
ReplyDeleteMungu Ibariki Tanzania na Watu Wake....
When you go to Rome do as Romans.
ReplyDeletekweli maximo anajifunza uswahili haraka.eti anakwenda kuomba Brazil ipige kambi bongo" hii ni sawa na Jk alivyowadanganya kuwa Real madrid itakuja bongo.
When you go to Rome do as Romans.
ReplyDeletekweli maximo anajifunza uswahili haraka.eti anakwenda kuomba Brazil ipige kambi bongo" hii ni sawa na Jk alivyowadanganya kuwa Real madrid itakuja bongo.
Brazil inaweza kutumia viwanja vyetu vya Taifa ikiwa kule Afrika Kusini nao watatumia NYASI BANDIA. Lakini kama hawatatumia za bandia na kutumia za asili, HAIWEZEKANI Brazil kuja kupoteza muda hapo!
ReplyDeleteHuwezi kujiandaa na mechi ktk nyasi tofauti na zile utakazo tumia ktk mashindano!
Kwa namna moja au nyingine, brazil wakipiga kambi Bongo...nchi yetu itafaidika kimtindo, sema walaji ndo huwa hawakosekani..ila km vp waje tu afu tupige nao walau gem mbili hvi!!!! kudadadeki lazima tuwpige bao watake wasitake....
ReplyDeleteMsanii tu hana lolote.Angekuwa kocha mzuri tungeona matunda.Bendera mzalendo aliipeleka timu Lagos yeye kafungwa hata na Msumbiji aibu tupu.
ReplyDelete