Mdau Ally Kadhi toka Tanzania (mwenye sweta kijani) na wenzie walibahatika kukutana na Mo Ibrahim katika kongamano la kimataifa katika chuo kikuu chateknolojia, TU Delft,(novemba 1,2007). Mo alikuwa chachu katika mjadala uliokua unaendelea baada ya kuyasema hadharani baadhi ya mabaya yanayofanywa na nchi za ulaya. Baadhi ya mabosi wa ulaya walijaribu kujibu mashambulizi bila mafanikio kwani Mo alikuwa na sapoti kubwa toka kwa wahudhuriaji.Kongamano ni la kuadhimisha miaka 165 toka kuaznishwakwa TU Delft na kauli mbiu ilikua "SustainableSolutions-Focus on Africa".

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...