Home
Unlabelled
shingo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ukitaka kujua ufisadi wa nchi hii nawaomba mtakaopata nafasi muungane na mimi mje dodoma kuanzia leo, ama kweli utajua namna gani rasilimali za nchi hii zitumiavyo na wachache ili wazidi kujikita zaidi katika tabaka la watawala, yupo ndg yangu ati naye kajitosa na mimi kama mpambe na hata pesa ya kula yenyewe hapa dom inatushinda, ila nimemwmbia kabisa sisi ni mijusi miongoni mwa mi mamba mikubwa, wacha tujaribu ili tufanye utafiti wetu ipasavyo na naahidi kuwapa findings mwisho wa siku
ReplyDeleteSi utani ni kukatana shingo. CCM imekuwa chama cha Majungu, yaani hakuna majadiliano ya wazi. Viongozi wanaogopana hakuna wa kusema ukweli
ReplyDeleteNgoma ikilia sana.......
ReplyDeleteNa ndio CCM ilivyo sasa
"...UKITAKA KUJUA UHONDO WA NGOMA, UINGIE UCHEZE"
ReplyDeleteI like that!
ReplyDeleteCha kushangaza shingo twakatana wenyewe kwa wenyewe wadosi no?
ReplyDelete