richard akiwa na mabosi wa multichoice bongo wakiwasili tayari kwa mkutano na waandishi mida hii hapa holiday inn

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Sasa huyo mtu mfupi suti ya nini,mwenzake kavaa kisanii yeye anajitundika miblaizer utadhanihajakaa ng'ambo. hivi huyu jamaa urefu wake ni kama yule JUSTICE wa BB II

    ReplyDelete
  2. Huyo mt mfupi kama Justice ndio boss wa MNET,mbona kavalia blaizer inakuwaje tena alidhani anaenda kusign contract ama kweli kuaa ng'ambo hakuna faida.

    ReplyDelete
  3. du ng'ambo neno la zamani hivi ni Baraka huyo au ni jibuni jamaniiii?

    ReplyDelete
  4. Hivi mbona mmemuandama huyo kijana mnaemuita mtu mfupi? mmeona maajabu mtu kuvaa blazer? mbona huyo mzungu na huyo dada kwa nyuma hamuwasemi? nyie ndo washamba kweli, hamuelewi kuwa watu wako kazini na hayo ni mavazi ya kikazi especially kwa maofisa? role yao na ya Richard ni tofauti kabisa so you cant compare their dress codes. Waswahili mtakufa kwa wivu, wenzenu waki succeed lazima muwatupie madongo.

    ReplyDelete
  5. Watu wengine bwana sasa mlikuwa mnataka avae nini ? Akuu mwacheni kaka wa watu kapendeza sana He is Good Looking.

    ReplyDelete
  6. Baraka uko juu sana Big Up!

    ReplyDelete
  7. We annoy 11:37:00 punguani kweli sasa umemuona baraka peke yake na huyo wa nyuma yake je? Bora baraka uko unakosema wewe n'gambo kaenda kutembea au kusoma na huyo aliyezaliwa huko je? Acha chuki binafsi bwana au kama unamzimikia baraka si useme tu kuliko kuanza Oooh mara mtu mfupi mara sijui nini wewe nani anajua kimo chako?

    ReplyDelete
  8. ACHENI WIVU WABONGO HUYO BARAKA MNAMSAKAM WA NINI? HAUPATI HATA KWANINI KAMA MTABAKI HIVYOHIYO YEYE ANAENDELEA ACHENI ROHO ZA KWANINI THEY GUY IS SHINNING KAMA KUVAA NAMBA VITU ANAVIJUWA SO WHAT? WABONGO MLIEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  9. Mhhh, wewe ulioanza kumsimanga Baraka eti ohh mfupi, mara blaizers, inaonekana wewe ni demu na pengine alikudiss huko ulipo ndio maana una visirani nae. pia he must be really 'somebody' for you to notice him maana wengine wote hao hukuwaona!!! pole dada..

    ReplyDelete
  10. huyu jamaa ana matatizo, inawezekana Baraka alimchukulia girlfriend wake.

    ReplyDelete
  11. I am a woman so i can feel what Rikki is going through, pole wifi yetu waTz. What Richard did is unacceptable all over the world but it is somehow justifiable. Richard was in the bb house for 98 days with no communication to the outside world, under a a lot of press of winning dola laki 1, no places za kujivinjari kama watu wengine in a free environment wafanyavyo labda useme aende akajiliwaze, pia tukumbuke jamaa ameoa na pengine amezowea kupata kiburudisho chake on a daily basis. Tatizo langu kubwa ni kwa wale wanaume ambao wao wako katika mazingira ya kawaida tu i.e hawajafungiwa, wana wake au wapenzi ambao ni steady lakini bado hawajatulia; jamani jamani jamani mimi hawa natamani niwakate hivyo vidudu vyao na hayo mayai mawili wabakie na kitundu cha kukojolea tuuu, na hizo lips zao pamoja nd ulimi (ndimi) zao zinazokiss kwingine nizikatilie mbali nimpe mbwa ale tuone watakiss na nini.. pumbafuuu. yaani nina hasira nao na wasipoangalia nitawageuza ngazi wawe wanapandwa tuuuu bila kushukwa...

    ReplyDelete
  12. Hio sio Blazer. Kaamua tuu kuchukua koti la suti yake bila ya suruali. Najua mtaleta maneno mengi ila ukweli ni kwamba hilo koti ni la suti na sio blazer kuna tofauti kubwa sana. Lakini kibongo bongo kapendeza na ingekuwa vyema kama angefungua kifungo cha chini.
    my 2 cents

    ReplyDelete
  13. Jama eeeh mwacheni brother Baraka, he is a cool guy since enzi za Sea-view. Watoto wa Sie-view ocean fron houses tunajuana, hatukuwa na makuu. Si anduje ana urefu wa kawaida kama wanaume wengi and he is good-looking labda ndiyo maana watu wanamwonea wivu! Go baraka, this is one of your neighbors in Sea-view residing in USA! Nafurahi sana nikiona dada na kaka zangu wa zamani wakiendelea na kuwaacha watupa madongo waendelee kusema sema ovyo. Stay cool as usual, hawa wanaokukanda hawakujui!

    ReplyDelete
  14. big ron sio mchezo mwanao nunda hapa

    ReplyDelete
  15. kuna maana gani kuiga show kama bb kwa sisi Africa??? Huhitaji kuwa rocket scientist kulisti madhara ya vitu kama hivi kwa jamii na maadili. Yani kweli waafrika tunatawaliwa kifikra mpaka kesho. hatuna uwezo wa kuchuja nini cha kuiga na nini cha kutoiga. jamii yetu itazidi kuharibika tu, na vizazi vijavyo ndio hata sitaki kufikiria. Wazungu milele watatuona wajinga na they'll keep benefiting from our ignorance.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...