hoteli ya new arusha bado inadunda...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Thanks kaka michuzi unatukumbusha sana watu home

    ReplyDelete
  2. Oh my umenikumbusha mbali sana...nimekulia huu mji lakini sijui mara ya mwisho nilienda lini.
    Tulikua tunasubiri mlinzi asinzie hapo halafu tunaingia huku tunafuata mtu yeyote kujifanya tuko na wazazi wetu. Walikua wanakataza watoto kwenda peke yao especially on sundays....na kwetu ni mtaa wa pili tu na hapo ndio tulikua tunaenda kucheza humo ndani...

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli tz pemetulia, jua zuri na uoto mzuri mzuri wa miti hii inapendeza sana!! No streess? Poa nitarudi karibuni

    ReplyDelete
  4. Daaah michuzi nyumbani kabisa hapo, yaani ukikata tu kulia unafika home mitaa ya fire!!! Nyumbani one day tu lazima tutinge!Halafu nimefurahi sana kuona maendeleo A town, taa barabarani, hotel maana! safiiii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...