Home
Unlabelled
ngurdoto mchana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sijui ngurudoto au ngurdoto...hapa ni wapi michu...mbona unatuoa vinews kwa kubaniabania! Nifahamisha tafadhali, nataka mahali pa kupumzika nikirudi likizo...Asante!
ReplyDeleteKAKA MICHUZI HONGERA KWA SEMINA ZAKO ELEKEZI LAKINI MWANAWANE TUAMBIANE UKWELI KUNA KINGUNGE ANAKUBEBA KWANI SOTE TWAJUA NGURDOTO ILIVYO GHALI SIO MAHALI PA KWENDA TU KIRAHISI HIVYO NA MAI NANII WAKO HAYUPO AU NDIO YALE TULIYOSIKIA KUNA JIMAMA UKO NALO?
ReplyDeleteALAMSIKI
Habari toka Gazeti la The Citizen la Jumamosi Nov 04, 2007
ReplyDelete==========================
Kwa ufupi ni kwamba Hotel ya City something pale Millenium Tower imefungwa ghafla na menejementi yake imetimuliwa pamoja na wapangaji wote waliokuwemo kwenye hotel baada ya menejiment hiyo kutolipa kodi kwa muda wa miaka miwili sasa. Yaani toka wapange hawajawahi kulipa kodi.
Jengo, vitanda na samani zote za hiyo hotel ni mali za LAPF, ambao wanamiliki jengo la Millenium Tower.
Cha ajabu uliza sasa, nani walikuwa wapangaji wao? Menejiment ya hoteli ni waafrika kusini ambao walikuja na briefcases na maneno matamu tu. Wameshavuna mapesa (manaake walikuwa wanatoza $ 90 kwa kulala usiku mmoja) na kutokomea zao Bondeni sasa hivi.
LAPF na wabongo wengine mlioshika mipini ya utajiri nchi hii ni wakati wa kuamka sasa na kuacha kubabaika na ngozi nyeupe. Wezi wako kila mahali. Hizo pesa bora angewaibia mTanzania mwenzetu zingebaki humuhumu Bongo.
Kaburu ni kaburu,I knew they were up to something in Tanzania.Wake up people before they turn it to south Africa.Don't trust a white man even for one minute.And women don't trust these white men you see there they come to infect you with HIV.It was all on Discovery channel here in USA.The Russians come through Mwanza airport to bring weapons and in exchange take fish from lake victoria for cheap.They also infected some girls there and told them to sing Tanzania nakupenda kwa moyo wote.Be wise my people,they even infect little kids with HIV.No white man is going to protect Africa but Africans.
ReplyDeletekaburu mjinga,kaburu.Mimi nimelipa zaididi ya dola 20,000 wageni wangu hapo, kumbe walikuwa hawalipi kodi, walikuwa wanawalipa hongo hawa watu wa LAPF
ReplyDeleteWahukuliwe hatua.inauma.haiwezekani muda wote huo,miezi 3 walitakiwa wawe wameondolewa
hamna lolote,mnakula jasho la walipa kodi tu
ReplyDeleteLaLu
Imeshindikana kuwachukulia hatua kwa sababu menejiment ya hao makaburu walipata taarifa mapema kuwa wanaletewa askari kuwatimua wakakimbilia nyumbani Afrika Kusini na kumwacha mweznzao mmoja tu ndio huyo anashikiliwa.
ReplyDeleteInasikitisha sana jinsi LAPF walivyoingizwa mjini.
Michuzi, tupigie na tuwekee picha za Manzese uwanja wa fisi... Tena utuwekee za mchana na za usiku. Natanguliza shukran
ReplyDelete