
mdau akisoma ratiba ya safari leo stesheni ya reli dar. kwa habari juu ya mwekezaji mpya wa shirika la reli kutoka india bofya hapa
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi bwana!
ReplyDeleteWamesoma wanaume hapo wee hakupiga picha.
Yaani kavizia mpaka Binti mrembo anasoma ndo kapiga picha ili kutuchokoza tu tuseme.
Basi hatusemi sasa. Tumegoma
Kuna siku mtindo huu wa kuayahujumu mashirika yetu kwa kuyafanya hayajiwezi kwa muda fulani kupata sababu ya kuuza kwa hawa tunaowaita wawekezaji utang'amuliwa na kuumbuliwa kama walivyoumbuka wezi wa BOT. Hii technic ya uhujumu wenzetu wa Kenya waliing'amua na kuwatimua "wawekezaji" wa Uchumi Ltd. Serikali inapaswa irejee ule mkakati wa 1982-83 wa walanguzi na wahujumu uchumi ili kuubaini uhujumu huu.
ReplyDeleteInauma sana tena mno. Huu ni uhujumu. Ni hujuma. Tuna jihujumu kwa kwa faida ya nani?
Wabongo kwa kulalamika bwana, watu wanapata usafiri sasa halafu wengine wanalalamika.
ReplyDeleteWenzetu wa Kigoma ndio kwanza wanafurahia na kuna wengine wanalalamika, uchoyo huo.
Kama nchi inahujumiwa bwana wazalendo wana haki na wajibu wa kilalamika,wakati wowote ule.Wenzetu wa Kigoma lazima wafurahi kwa sasa maana baada ya muda kupita wamepata suluhu ya matatizo ya usafiri.Lakini mambo mabaya yaliyojificha nyuma ya suluhu hii ni lazima yasemwe!!!Tusiwe tunafumbwa macho kijinga jinga tu.
ReplyDeletesio uchoyo ndugu yangu, mtoto akililia wembe ukimpa ajikate kazi kwako tena hospitali ghali bro.!!!
ReplyDelete