miss tz 2007 richa adhia ameshatua china na taarifa zilizonifikia toka kwa afisa habari wa kamati ya miss tz haidan ricco ni kwamba mwakilishi wetu huyu anajichanganya vilivyo na wenzie. hapa yuko na mrembo mwenzake valene mahalaj wa trinidad na tobago. fainali ya miss dunia ni desemba 1.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. duuuuuh mbona kama mapacha,simchezo ngoja tujaribu bahati yetu na huyu muhindi manake wahindi wanatutumia tu sisis ngoja na sisis tumtumie huyu la flag itapeperuka vizuri.mnao piga kelele sio mzawa huyu,kawatoeni waliokua bungeni kwanza ambao wanawakilisha nyinyi mnaojiita wazawa.

    ReplyDelete
  2. Ukiwalinganisha hawa wawili tuu Richa katupwa nje. tabasamu lake ni kama amelazishwa na pia kama analia kiaina.

    ReplyDelete
  3. eeh bwana mbona mapacha?

    ReplyDelete
  4. Trinidada, Tobago and gayana wote babu zao walitokea uhindini. Kwanza wana mila zote za kihindi. Si ajabu wakipima dna wanrelate hao

    The world of Indians kila corner wapo

    Mungu Ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  5. Kweli ignorance is so bad. Badala ya kumshabikia huyu dada anaye represent Tanzania's diversity, mnamsagia na kumbagua.

    ReplyDelete
  6. Jamani Richa hafiki popote!!! Kaenda kutalii tu huko !!! Yaani hata ukimlinganisha na huyo mhindi mwenzie tu tayari keshafunikwa bovu, sembuse akilinganishwa na vimwana wa Africa!!! Yaani "Kichwa chwa Mwendawazimu" sijui kitaisha lini? BIG PROBLEM !!!

    ReplyDelete
  7. Jamani wa tanzania sijui tuko je? huyu dada anaiwakilisha Tanzania tunachotakiwa kufanya kwa sasa ni kumpa saport na sio kumkashifu. Kumbuka kwamba binadamu wote ni sawa na huyo kuwa na asili ya kihindi isiwe issue. Tumkubali kuwa anatuwakisha sisi wa Tanzania na tumfurahie. Tuache kumbagua hata mungu mwenyewe hapendi.

    ReplyDelete
  8. POTEZA MUDA TU

    ReplyDelete
  9. Wazungu wanatuona wa ajabu sana kuwapelekea muhindi na wao wanajuwa kuna wanawake weusi wazuri Tanzania.Ndio yale kama ya kina twanga na pekecha wakifika ulaya huwa wazungu wanawasema vaa zao sio za kiafrica wanawacheka.Wanaonekana machangu.Jamani 80% wazungu wanapenda watu wanawake weusi mkiwa katika hali zenu za kiasilia,lakini mkianza kujitia ublonde huwa yanawaudhi hata wao.Sasa huyu muhindi kazi kwake,wazungu hawapendi wahindi.Lets see.

    ReplyDelete
  10. kweli mi iko ona poteza mida pia kwa sababu hii dada ya kihindi kitanzania onekana kama zee kidogo kulinganisha na hiyo nyenzie halafu haina inteligent kwa sabu nasikia secretary ikishinda hii mimi iko jivunja mguu kabisa

    ReplyDelete
  11. Wabongo hacheni ubaguzi,huyo Mhindi ni Mbongo,na uhakika hata fanya vizuri zaidi ya miss yeyote alie wai enda ktk miss World than hao mnafikri wangeenda wangeshinda,Hacheni ufinyu wamawazo let support our Miss afanye Poa,Bongo haina color,Ukianza leta color mtaishia pabaya kama Mgabe ilivyomshinda Zimbabwe.All Peepz are them same.So let Be in a single Mind accept our Tanzanian miss

    ReplyDelete
  12. wewe mtanzania utashinda katika jina la Yesu amen.

    ReplyDelete
  13. Watanzania wazalendo kweli mmelala. Haya, waachieni wawe na passport mbili halafu muone mtakavyoachwa kwenye mataaa!!!!!! amkeniiii!!!!!! Au mpaka mtiwe maji?

    ReplyDelete
  14. Waosha vinywa hawabebeki!!!! Richa ni miss tanzania na anasifa kama warembo wangine waliopita. Nashangaa mnampiga vita kwani hawa walioenda kabla yake walifanya nini cha ajabu. Na wangine mnasema wazungu watashangaa, hao wazungu si watu kama sisi kwanini tuwathamini kiasi hicho. Acheni dhana ya kila kitu kama mzungu. Big up richa, wenye roho mbaya watajiju.

    ReplyDelete
  15. The truth is whether she wins or not, to me she is not representing the country that I love though it is failing us greatly lately...even telling us beautiful intelligent lasses that we are not enough unless if we had a hint/pint of whiteness within us...to me, she is not and will never be Miss Tanzania. Yes call me whatever you want to call me but somehow you understand we were done wrong here, to hell with Vodacom and their motto slogan "Experience the diffence!" Miss Tanz-India really was a different theme in our normal Miss Tanzania competition. Peace!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...