Home
Unlabelled
richard alonga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi muulize richard mbona jana amekimbia wananchi watu tumeotoka mbagala na tumelowa na mvua.ametuuzi sana tutamgeuza kuku
ReplyDeleteOk ushindi tumeupata na Richard amepata mshiko wa nguvu utakaomsaidia yeye na familia yake na ama pia rafiki zake wa karibu akipenda na umaarufu wa Tz umeongezeka sina uhakika kwa uzuri au ubaya?
ReplyDeleteNasema watakaotuita washamba au wenye wivu waseme tu lakini maswali na hisia zilizo ndani ya wenye hekima zitaendelea kububujika hadi kiama!
1.Nauliza BBA inatufunza nini au inatusaidiaje katika harakati za Mwafrika kupambana na umaskini, mmomonyoko wa maadili na hata unyanyaswaji wa kijinsia?
Binafsi natamani niazishe kutengeneza na kugawa vi-Tshirt vya bure na kuwagharimia misosi ya nguvu wenzangu tunakaokuwa tayari kuumwa mbu wasukumwao na upepo uvumao toka mwisho wa lami kuwapokea na kuwatunuku Watanzania watakaokuwa wanarudi toka nje katika MAJUMBA YA TAALUMA KIFUU na waliokwaa nondo za Panda hadi Darini (PhD).
2. Je BBA haiwezi ikabadilishwa katika mfumo wake likawa ni shindano tu zuri linalopima ubunifu, vipaji na mapambano dhidi ya maadui wanaotusumbua katika bara letu la Afrika bila kulea uozo wa kulana mate na kushabikia miamusho ya ngono kiasi hata cha mtu kufikia kumsaliti mkewe hadharani kisa eti mwishoni apate fedha zinazodhaniwa kuwa ndio jibu la kuwepo Amani, Utulivu na tija ya mapenzi katika unyumba? Ebu fikirini kwa sekunde kama mke wa Richard ndie angejiunga na BBA na akajilahisi kwa dume moja ndani ya jumba kisha mwishowe akapata huo mshiko, je ushangiliaji ungekuwa of the same magnitude?
3.Kama issue ni ushindi tu na kupata pesa pasipo kuangalia kwa undani kinachofanyika mbona kesho tutaanza hata kuiga yale mashindano ya ufukweni US ambapo eti vijana hujipanga na kuanza kutukanana matusi heavy ya unene wa mama zao, maumbo mabaya ya dada zao na hata ushamba wa baba zao n.k mpaka refa wa matusi anapotangaza mshindi na kumpa mshiko huku wengine wakishangilia!
4.Hivi kwa nini sasa Serikali inaamua mfano kuwakamata Watanzania walio katika ushindani wa hiyari katika uwanja wa fisi, Jolly Club na kwingineko? wakati nao huwa wanakuwa kwenye MAJUMBA YA BIG BROTHER TANZANIA ambapo wanashindana kuonyesha vitopu, vimicro-mini, high heels, vi-G string, perfume zibadilishazo hali ya hewa kwa muda wa masaa 24, kuchezesha viungo vyao karibu na wanaume kwa staili ya mivuto kama Tatiana, kubishana na hata kurushiana matusi juu ya mada mbalimbali zinazolandana na kutoa penzi la muda kwa wageni waliowatunuku wanapokutana nao ndani ya hayo majumba?
Mbona hatuwashangilii hao wanaobahatika kila siku kupata mishiko mikubwa ya ghafla baada ya kufanya yaliyo ya aibu pasi kujali mbele ya kamera zinazojihudhurisha zenye utando uitwao retina ambao ni sehemu ya mifumo ya fahamu ya Wanadamu? au ni kwa vile hao hajapata sponsor kama MNET n.k
Haya ngoja nami nikawaandae washikaji wangu wa UMOJA WA VIJANA WA MAISHA CLUB, AMBIANSE, JOLLY CLUB, 'Q-BAR', TRIPLE A, MWANZA HOTEL NA KWINGINEKO wajiandae kuwapokea kwa vishindo akina dada mabingwa wanaojishindia paundi za Uingereza, Euro na Dola za Kimarekani kwa kazi ya 'short time' inayoonekana kuipandisha chati TZ na yenye mshiko mkubwa zaidi ya mara 10 ya mshahara wanaopata Surgeons kwa mwezi baada ya kupasua vichwa au tuseme miguu ya watu!
Hii yote italetwa kwa udhamini wa DAILY BIG BROTHER TANZANIA kama ilivyonaswa na mwandishi wetu ,
NYAKATAKULE UNYILISWA ECHALO
Usiibanie hii ndio hali halisi....
ReplyDeleteFury over Big Brother sex act
Big Brother entrant, M-Net could face rape charges
Richard Bezuidenhout Supplied by M-Net
October 31, 2007
By Vivian Attwood and Rivonia Naidu
Television viewers, anti-abuse activists and lawyers have condemned the airing of an episode of Big Brother Africa on M-Net on Saturday which showed acts of drunken debauchery and alleged non-consensual sex.
In the wake of the flighting of the programme, South Africans are asking just how far television broadcasters are prepared to go to boost viewership.
Saturday's antics may have laid both M-Net and Tanzanian contestant Richard Bezuidenhout open to charges of sexual assault or, alternatively, rape.
After 12 weeks, three contestants Nigeria's Offuneka Malokwu, Angolan "Tatiana" and Bezuidenhout are entering the home run as they vie for the $100 000 (R654 000) prize
'It is not only demeaning to one woman, but to women in general'
.
While the programme is habitually controversial, Saturday's episode pushed the boundaries in a way many viewers found unacceptable on moral and ethical grounds.
Bezuidenhout, Malokwu, Tatiana and Ugandan Maureen Namatovu (who has since been voted off) were seen consuming copious amounts of alcohol.
Bezuidenhout then tried to strip one contestant before allegedly sexually assaulting Malokwu by inserting his fingers into her vagina. Malokwu appeared to be almost comatose during the alleged act.
While many viewers have voiced their disgust at what they witnessed, Bezuidenhout still seems to be the hot favourite to win the competition.
On the Big Brother Africa forum, a viewer's comment read: "I was quite disappointed that our beloved show was getting such bad publicity, even on the international scene, all because of this nuisance called Richard.
Well I don't blame him; I blame myself and people like me who have been voting to keep him in."
Viewers are also angry because their comments in the wake of Saturday's show were removed from the Big Brother Africa forum.
Asked why M-Net had edited its discussion forum to remove comments that accused Bezuidenhout of sexual assault, spokesman Joseph Hundah said: "This is a serious allegation and there is no proof of this (sic)."
Durban-based independent television producer Liza Aziz said Saturday's episode of Big Brother Africa exceeded the bounds of ethical broadcasting.
"The fact that the broadcaster provided the alcohol that initiated such behaviour is unacceptable, and the incident itself was immoral," she said.
Bonya hapa kwa habari kamili
http://www.tonight.co.za/index.php?from=rss_Tonight&fArticleId=4107339
Wewe wa Mbagala unayesema alikukimbia airport kwani alikualika kuwa uende Airport ukampokee?
ReplyDeleteYeye wala hakualika mtu yeyote aende Airport.Ilitangazwa tu kuwa atawasili lakini hakutoa ombi la kupokelewa na yeyote.Alikuwa na haki ya kuwakwepa.Angejichanganya si angemkwapuliwa brief case yake yenye noti.Hata ningekuwa mimi msingeniona.Utapokelewaje na usiowajua ambao hukuwapa mwaliko.Lo.Kila abiria inabidi achunge mzigo wake hasa aliyeshuka kwenye ndege na mwenye dola 100,000!
Kiherehere cha u-bishow cha watu ndicho kilichowapeleka watu Airport na mvua yote ile bila kuitwa au kualikwa.
Watanzania kwa kupenda kushangaa, Nendeni mkashangae ferry siyo Airport.
Kilikupeleka nini kule wakati unajua kabisa daladala za Aiport kwenda mbagala hazipo ulitegemea utarudije Mbagala.?
Nakuhurumia ndiyo maana una hasira.Siku ingine usiende kama hujaalikwa.Ok.
Shughuli ni watu lakini ni wale walioalikwa tu si kila mtu.
Mh!!!jamani msimhukumu yeye hebu wanyoosheeni kidole waandaaji wa shindano hilo Whyyy! it was like that hata mimi sikufurahishwa japokuwa sikuwepo, imagine it is raining without an umbrella JK guyz were there to represent how shie IT WAS???
ReplyDeleteCONGRATURATIONS RICHARD, BUT PLS CONCLUDE AND APOLOGIES TO YOUR WIFE IF YOU WILL NOT DO THAT GOD WILL TELL YOU....I HOPE U KNOW PAYMENT IS WITHIN THE GLOBE.
SECOND PLS TRY YOUR LEVEL BEST TO LOOK AFTER ORPHANS AND OLD MAN WITH UKOMA PALE KIGAMBONI IN OUR COUNTRY AS WE KNOW $ 00,000/= IS MUCH MONEY FOR U TO TAKE 5MIL OR 2MIL FOR SOCIAL HELP LIKE THIS U WILL LOOSE NOTHING.
HOPE GOD WILL HELP U IN EVERY STEP YOUR GOING TO TAKE, DON'T BE LIKE MWISHO HE IS CHAPOMBE THAT'S WHY GOD PAY TO HIM.
What Richard did to his wife is totally unaccepted, fingering and probably having sex with women in the container while knowing he is married. He doesnt show a bit of respect to his wife by declaring his love to Tatjana. His family has so much influence to his life that he will even drop his Tatjana or whoever becomes his wife.
ReplyDeleteYet the government is congratuling this stupid pornostar Richard, its a shame. If he goes to another place and meet another cute girl, he will abandon that bitch Tatjana as well.
Be real and responsible comrade. If you stay with your wife or marry that husbands grabber and family destroyer Tatjana, fine do that because its ur life but dont let family decides on what you want, afterall you are the one who will live with your wife and not your father, stupid asshole. Grow up!!!
Its all money that changes people so much, he would have probably taken alcohol and fucked his idiot sister, provided that there was money to be won.
Richard is no longer a person once he was, he is now a qualified celebrity pornostar, look at other celebrities like in Hollywood, they keep changing partners like shoes because of the money. Most of them end up dying very lonely and poor.
Poor Ricki, my total sympathy!!! I am Tanzanian, but i feel soo sorry for this highest degree of humiliation by your own husband and infront of the world. Anyone who blames Ricki doenst know the pain and suffering she is going through and she has been well behaved all this time and controlled herself. Some people would have gone as far as committing suicide as some people have done that before, but she is a strong character.
My total respect to you Ricki!!
In Tanzania, you can insult someone by calling him/her a dog (mbwa) while europeans love dog and never use that word as an insulting instrument. They use word pig. So she did what she is used to back home. Afterall she is from a different culture, and different countries use different phrases and method of showing frustration.
Calling someone pig is not nice, but one can you do if you are so hurt? Just imagine if your husband tells you that he hates you and loves a woman you infront of your family and friend, you will hope the earth to open up and swallow you alive. So what is all this rasism and discrimation coming from?
I am very disappointed by Richard and his family by trying to support him and use every chance to expose Rickis weaknesses. They are just illitrate money grabber trying to exagerate every small issue from Ricki and separate them desperately. They want to tell us that Ricki is guilty and all the blah blah blah, but she is innocent, infact Richard is the one who is to blame and cant controll his dick whenever he sees an attractive woman as he has shown us and Africa knows that.
mie nakataa kuambia ushindi ni wetu watanzania! sikumsaidia richard kwenda kufanya aliyoyafanya.....
ReplyDeletehe went over the board by fingering mtu mwengine in the camera infront of two women he says he loves .....
the guy is sick.....na nakataa kuambiwa kuwa tumeshinda watanzania kwa tabia mbovu kama zile...
From a daily in Kenya.
ReplyDeleteRichard is a disgrace to all men. I never voted for him ever, I never liked him from day 1 he is arrogant, disrespectful and so many negative words will take me all day to list. Riki RUN FOR YOUR LIFE
It’s in one of our dailies (not on the net), so I will just pick up stuff here and there. They give some intro on how he met Ricki, and his siblings telling him things are not good back home with his wife etc. Then….
As far as Richard is concerned, his relationship with Tatiana is over. ”Tatiana has a boyfriend and I have a wife,” he says. But he maintains he meant every word he said to her. ”All those lines I used were just my way of telling her that she was beautiful. She is a wonderful person”. There was a lot of speculation revolving the nature of their relationship and whether they ever got intimate. ”Yes, we had s e x a few times,” he confesses.
Then he talks about Saturday (same story he gave during the conference/interview). Then says, I was very drunk. I would never have done any of that in my right mind (kissing paramedic etc). I am sorry for what happened that day.
He is determined to get his house in order and go back to school, focus on his career. ”I know I messed up.” He has one regret in all his time on Big brother. ”If I could go back in time, I would have quarreled less with Tatiana,” he says. That’s the one thing I would do different.
Then they talk about his family (stuff we know)
Kenyans, it is in todays star.
He admitted he had S E X several times with the tart.
This is your national hero, what a disgrace, but seen a site where Ofu might take action against Richard from Nigeria, I hope she does
http://www.ofunneka.com/news_report.htm
Guys are you real serious or - else you try to infringe other people’s right with your rhetoric message under this web, I ma certain, although we are still arguing about vagueness of others, all of so said emotions, that they are to be blamed rather than blaming Richard.
ReplyDeleteWho narrated that, Big Brother is unethical, can any one critically analyse the role of cross culture aspect in this world of globalisation and internationalisation, some ethical issue s gain importance because of someone’s value or perceive -ness. So which is the appropriate way to behave? Am sure that no one will be in a right track to answer this question.
Tanzanian and “gossip” that is what most of people do. A minor thing will be a buzz word with the endless discussion. Please stop binging irrelevant unconstructive criticism. There one philosopher who says that, ineffective thinking always blames and unveils weaknesses, predicaments and dilemmas. All of the negative guys prove this hypothesis.
Would you spare with my views in regards to the entire discussion:
Domestic issues have long historian with underground hidden things, the conflict between the couple might be ignited with something else than a Big Brother Contest, so stop quoting the contest as a catalyst for an apparent separation.
If you have decided to embark on development be ready to accept the price of it, one of it should be the drifting of taboo and traditions belief. It sounds unpleasant to read someone comment negatively on contemporary occasion. Please if you are very rational why you use computer and net, stay with your Stone Age era. Likewise could you use a sun to predict time!! We need to applaud.
I would advise the organisation which prepares this should design the theme to be more Africans rather than western as great part of Africa shares value, identity and customs, so as to rebuff the concept of nepotism due to neo-colonialism.
I can’t spare a time to write more!!! So boring issue.
Dr. Confusion a.k.a Mzee wa kuchanganya na kuchanganyikiwa
Maeleeeeeeezo hayaaaaaaaaa!
ReplyDeletehttp://dailynews.habarileo.co.tz/sports/?id=1523
Habari zaidi
ReplyDeletehttp://www.ofunneka.com/news_report.htm
Michuzi na mimi nimesave kama dola laki moja na ushee kwa kupiga box ntarudi nyumbani mwakani mwezi wa kwanza naomba mniandalie mapokeji pamoja na mahojiano na waandishi wa habari
ReplyDeleteThank you Nasser! I really respect your comments; you seem to be smart and well educated. Also would like to show my full support to the Anony who raised serious questions about the benefits of BB show to Tanzanians and Africa as whole!I still dont see any logic from this show,rather than promoting pornography in our country. These are the comments that we need to consider and ponder sincerely! Richard's family and some of the Tanzanians have shown great weakness to support infidelity behavior of this Youngman who is considered to be a "Hero" by winning the "BIG BROTHER”. Richard’s infidelity in his marriage should be condemned regardless he won the Big Brother and got $100,000! Richard would have been very smart if he apologized to his wife soon after he got out from that stupid house!This poor canadian lady doesn't deserve this nonsense and as a human being she has a right to express her anger, so there is nothing wrong to call Richard "Pig" What would you do or say if you were in Ricki's shoes?? Naipenda sana nchi yangu Tanzania na nasikitika ninapoona watu wana shangilia upumbavu.
ReplyDeleteBy KIDUME
Haya Jamani wapiga box wakichoka huja kutuchanganya sisi wqkina kalagabaho!!Najua fedha zinawala,wangapi wanaukana utu shauri ya minoti bwana,mmesahau kesi ya kilimanjaro hotel na mbwa!!Nyie mbona mnabeba mabox na elimu zenu,je ndio maadili ya nchi yamewatuma mkabebe mabox huko,mwingine alikutwa anasafisha jiji moja akakimbia kidogo avunjike mguu,kama ni maadili mazuri mbona anakimbia hivyo.Tusimshupalie Richard kwa ajili ya Power of Dola,halafu tujidai kusingizia maadili.This is very "skeptical"watu kuchonga hawaachi,manake hata hapa UK nimeona waandishi wanamfuatilia Chalsy mpaka binti ya watu anakosa raha,kajitokea zake Zim kuja kutanua na PRINCE yakamgeuka ha ha ha ha haaaaa!!!Ngojeni niwahi Boksi,lakini linachosha ila nifanyeje nami nipo nchi ya watu
ReplyDeleteBro Michuzi Box sio mchezo bwana usiombe leo ninasiku ya tatu maji naogopa nikifika ndani ninalala hata kula sili manake nani atanipikia,nikimaliza hapa naelekea kwa vibibi vinaharisha kwelikweli kwa sababu ya Mayonise,yaani karaha tupu,jamani Rasi si atutengenezea mazingira mazuri turejee nyumbani;yaani hela na mkwanja huo wa Rich nautamanai kweli manake hapa nalipwa Pound 5.50-6.00 sijui nifanye masaa mangapi nizipate hizo.Yaani wewe acha tu.Richadi Kamua baba kamaua tu,sisi tunapigika huku ufalani.
Nimeandika haya kwa sababu natofautiana na wabeba box wenzangu wanawadharau sana vijana wa nyumbani kana kwamba huku kuna maisha bora,ubora wa kunyanyaswa.Juzi nimeona Gazeti moja likitoa picha ya Mzaire aliyejiunguza kule Luxenbourg,kweli angekuwa nafaidi angejiunguza,tusidanganyane jamani,huku tunapoteza muda tu.Lakini umeme haukatikagi ,wala maji ya bomba,tunapeta na maji ya bombani.Aaa hivyo haviwezi kunifanya mtumwa wa mchi yangu.
Richard BB imeisha fanya vitu vyako vya kuendeleza kipaji,hawa waosha kinywa wasikuhadae,wakiona macelebrity wa Bongo wnataka kuwafananisha na Paris Hilton,Posh Victoria,Britney Spear.Wasikusumbue kabisa.
Coming back to constructive ideas,I would appreaciate if anyone of wabebaboksi could go back home and assist the nation greatly in Policy formulartion process by contributing usingng Bencmarking Skills,But we are ending up by envy,
I will begin by congraturating Richaerd for make himself a man. Second for making Tanzania known somehow!its annoying kuona watu wengine mnaongea kama virusi ambavyo havina tiba hata richard kaparamia shangingi ni shauri yake labda ndio maana kashinda kwa nini wabongo wana hizo eti ohh kapiga finga demu wa watu au kalalua kwenye kontena hata kama akilalua popote ni maisha yake,hakuna sababu ya kumpiga vijembe eti kaacha mke hiyo haituhusu ni maisha yake sisi tunachotakiwa kujua ni kwamba kaitangaza bongo kiaina kitu ambacho wanasiasa kinawazingua mpaka leo kenya wanasema mlima kilimanjaro wao!Acheni ukapungu wenu let the guy have fun.alafu ni muhimi ttuandike kiswahili kiingereza cha nini wote tunajua ,kwanza be proud wt ur language u idiots.Richard ni mwanaume kuwachemsha vile sio mchezo wengine mineno ukiwekwa mle unachekesha na mineno yako.
ReplyDeleteTunaona madhara katika jamii yetu ya Africa ya kuiga vitu vya wazungu visivyokuwa vya maana... Tuzidi kuiga tu tutakuja kuona madhara yake baadae kwa vizazi vijavyo na kadhalika
ReplyDeletesasa wewe michuzi ndiyo nini kubania comment yangu
ReplyDeletenilitaka kumwambia huyu anayejitia Mkenya hapo juu a.k.a dreamy
you hater!!! get over it
he is a winner and we dont care what you think
so your vote didn't count !!!!!
watu wengine bwana wivu umewajaa
mshamba mkubwa wewe