Hope all of you are doing great.
Mimi pia niko vizuri kiafya. Nimekuwa busy mno katika harakati mbalimbali zamaisha.
Kama inavyofahamika, tarehe 1 Des kila mwaka huadhimishwa siku ya UKIMWI duniani.
Mimi pia niko vizuri kiafya. Nimekuwa busy mno katika harakati mbalimbali zamaisha.
Kama inavyofahamika, tarehe 1 Des kila mwaka huadhimishwa siku ya UKIMWI duniani.
GYCA na wanachama wake ulimwenguni kote hushiriki katikakuadhimisha siku hiyo kwa kufanya shughuli mbalimbali. Baada ya kutafakarikwa kina na kupokea maoni miongoni mwa vijana wenzangu, nimeonelea mwaka huuGYCA Tanzania tufanye maadhimisho hayo kwa kufanya shughuli zifuatazo: -
1. Michezo - inafikiriwa kufanyika katika viwanja vya biafra K'ndoni na kushirkisha timu takriban 6 za vijana
1. Michezo - inafikiriwa kufanyika katika viwanja vya biafra K'ndoni na kushirkisha timu takriban 6 za vijana
2. Semina/presentations - presentations 3 zinazolenga moja kwa moja katika kujadili masuala ya ushirki wa vijana katika harakati za kupambana na UKIMWI,
3. Burudani mbalimbali.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni "Leadership" hivyo katika GYCA tutaongozwa na"Youth Leadership" kama ndio kauli mbiu yetu. Katika kuadhimisha siku hiyo,mashirika,asasi pamoja na watu mbalimbali wanaombwa kujitolea kushirikianana GYCA Tanzania.
Hivyo basi, pamoja na email hii, ninaomba kupata maoni/mchango wako wa namnaambavyo tunaweza kufanikisha lengo letu hilo. Ninafahamu kwamba mudauliobaki ni mchache sana kwa hiyo katika kutoa maoni hayo ni vyematukazingatia muda.
Nitafurahi kama nitapata michango/maoni yenu hiyo kabla ya tarehe 6Novemba, 2007
Ahsante kwa ushirikiano wenu.
Yahya Poli,
National Focal Person
Global Youth Coalition on AIDS,
C/O Youth Action for Change -
Tanzania
P. O. Box 79633,
Mobile: 255 715 253 653,
Email: dr_pori@yahoo.com,
Dar es Salaam,
Tanzania.


unavyozidi kuwa na rasilimali nyingi ndio ambavyo vishawishi vya ngono vinavyozidi kuongezeka kwa sisi wabongo. wakati ktk ulimwengu mwingine wanafikiria kufanya more investments sisi tunafikiria ngono tu na kuhonga zaidi ili tupendwe sana na nyumba ndogo, sasa kwa style hii siku ya maadhimisho ya ukimwi duniani kwa bongo kwa nini vyombo husika havi address situation hii?
ReplyDeleteAhsante kwa kubandika hili tangazo. Shime wadau wote, maoni yenu ni muhimu sana katika utekelezaji wa tukio hili.
ReplyDeleteTANZANIA BILA UKIMWI INAWZEKANA
WAGANDA WENGI NI WAGONJWA.
ReplyDeleteAnyway, shime wanajamii tupambane na huu ugonjwa ambao hauna tiba wala chanjo.Wazo langu ni kuwa huu ujumbe si dahni kama unareflect juhudi za kupambana na UKIMWI.leadership is more than reaction!Unfortunately, good leaders are the vulnerable to UKIMWI.The more people become close to people especially pretty ladies , the less they become good leaders but good destroyers!
ReplyDeleteNadhani solution ya ugonjwa huu ni kubadili tabia kwa mtu binafsi tu, education sometimes and leadership has nothing to do with sex, but is more intrisic and personl judgement on how you value your presence in this world.Most leaders are hiv positive!!!!!To let them as leaders in combating hiv is like cultiavting spillover effects of bad behaviour!
The theme should be revisited otherwise , it should be clealy narrated to avoid misconception,