kampuni ya kurekodi muziki na video ya sofia productions ya dar imekuja juu sana hapa bongo kiasi si rahisi kuwakosa kwenye hafla yoyote ambayo ni hafla ikizingatiwa ina wataalamu na vyombo vya kisasa kuliko wengi wengine. hapa ni wakati wa shoo ya viwalo ya mustafa hassanali hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Inatia moyo sana kusikia wazalendo wenzetu wakifanya vitu vya mafanikio kama hivi.Inakatisha tamaa wakati mambo kama haya yanapofanywa na wageni.Hongera sana Sofia Productions.

    ReplyDelete
  2. nimeona video mmoja toka tanzania inaitwa dangerous desire,imeshootiwa na kampuni gani? that is quality shooting,at long last naona at least katika hii fani bongo is moving forwards. je hizi video za steven k nitazipata wapi katika ALASKA ,LONDON, au HELSINK?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...