MECHI YA KILIMANJARO STAAZ NA CHIPOLOPOLO YA ZAMBIA IMEISHA KITAMBO NA MATOKEO NI KWAMBA STAAZ IMESHINDA 1-0 KWA BAO LA DAKIKA YA PILI KIPINDI CHA KWANZA LA MIKE CHUMA
Home
Unlabelled
STAAZ OYE!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Kufunga sawa, hii ndiyo inatupa kiburi tukienda kwenye mashindano makubwa tunachapwa pwaaaaaa!
ReplyDeleteTupe taswira halisi gemu ilikuaje kaka Michuzi...tucje tukawa tunajivisha kilemba cha ukoka!!!!
ReplyDeleteHongera Kilimanjaro Starz.
ReplyDeleteKAKA MICHUZI NA WATANZANIA WOTE NAOMBA MSAADA WENU KUTHIBITISHA HILI 'NINACHOFAHAMU MIMI UWANJA WA TAIFA WA ZAMANI NDIO UMEWEKEWA NYASI ZA BANDIA; JE VIPI KUHUSU UWANJA MPYA UNANYASI ZA KAWAIDA AU PIA NI ZA BANDIA?
MDAU ULIYEULIZA KUHUSU MAJANI.
ReplyDeleteMIMI NIPO DAR NA NIMEINGIA VIWANJA VYOTE. WENYE MAJANI BANDIA NI UWANJA WA ZAMANI, UWANJA MPYA UNA MJANI YA KAWAIDA 'NATURAL'. INASHANGAZA KUONA WAANDISHI WA TANZANIA HAPO MWANZONI NDIO WALIOKUWA WANAWACHANGANYA SANA WATU KWA KUSEMA PIA UWANJA MPYA UNGEWEKEWA NYASI BANDIA.!
MIMI
Uwanja mpya una nyasi za kupanda sio bandia. Kuhusu mechi na Zambia, Tanzania imeshinda ila ni vigumu kueleza mchezo ulivyokuwa kwa mtu ambaye hakuwepo na ukaeleweka kinachojulikana ni ushindi tu ila kazi bado tunayo kubwa saaaana. Swali langu kwa Michuzi ni kama Zambia ilikuwa timu ya taifa au waliokoteza wachezaji na kuja Tanzania maana niliona mechi hii na ya kwanza tuliochezea Morogoro, timu yao ni tofauti kabisa. Naomba michuzi ufanye utafiti na utufahamishe.
ReplyDeleteMimi nilikuwepo uwanjani, kwa kweli kwa tathmini ya haraka harak ni kuwa, timu yetu ni nzuri, tena nadiliki kusema kuwa ni moja kati ya timu nzuri za taifa tuliyowahi kuwa nayo. Kwanini
ReplyDelete-Kwanza, wachezaji hasa mafowadi wanajituma sana na wana kasi kubwa.
-Mafowadi wameonyesha uwezo wa kupiga mashuti mara kadhaa goli mwa adui.
-wachezaji wote uwanjani wameonyesha hari kubwa na kujituma mno. Ile hali ya kusinzia haikuwepo.
-Mafowadi wameonyesha uwezo wa kupenya ngome ya adui na timu imeonyesha uwezo wa kupanga mashambulizi.
japo hii ni tathmini ya mechi moja lakini Iwapo kama hii timu itakaa pamoja muda mrefu, nina hakika tunaweza kufanya makubwa.
Kwa wale wanaomfahamu Said maulid, naweza kusema kwamba karibu mafowadi wote wana kasi kama ya Said Maulid ila kizuri cha ziada walichonacho ni uwezo wa kumiliki mpira, na kutumia akili. Sikuamini kama tuna wachezaji wanaweza kuwa na kazi namna ile. Siwajui majina yao wengi lakini kiungo Vincent Barnabas na Kanakamfumo na hao wengine ni moto wa kuotea mbali. Wana akili sana na muda wote wako na high concentrations.
Upande wa kiungo Henry Joseph alionekana kuelewana vizuri na wachezaji wapya, na mtazamaji ungeweza kuhisi kuwa wanamwelewa mwalimu wao anataka nini.
Upande wa walinzi,Said Sued, Amir Maftah, Salum Sued na Erasto Nyoni wameonyesha uwezo mkubwa wa kujua kujipanga dhidi ya maadui.
Upande wa kipa, kidogo kunahitajika marekebisho, sababu Bartez anahitaji msaidizi maana yule golikipa wa Ruvu ambaye jana alicheza kwa takriban dk 5 za mwisho, alionyesha kutojiamini mno. Tuna wasiwasi iwapo Bartez ataumia, wengi hatukuridhika na kipa msaidizi. Timu inahitaji kuunganishwa ili kuwa kitu kimoja, hasa kwa washambuliaji ambao wote ni wageni lakini wenye uwezo mkubwa. Tumpe sapoti maximo.
Kwa Wazambia, wao walicheza mpira mzuri muda wote walipokuwa wanamiliki mpira. Na sababu ni kuwa timu yao ni ya muda mrefu, na wachezaji wake wengi ni professional kwa hiyo walikuwa wametulia na wanaonana vizuri wakipata mpira. Kitu ambacho nilikifurahia ni kuwa mafowadi wao walipata sana shida kuipita ngome yetu kiasi kwamba Bartez hakupata shuruba nyingi golini. Kwa upande wetu tuliweza kuipenya ngome yao mara nyingi na mashuti makali kuelekea golini yalikuwepo. Zambia ilikuwa na wachezaji 5 ambao ni professional. Asante