Home
Unlabelled
staaz urusi oye!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wadau wa moscow namtafuta mshkaji wangu mmoja anafanya medicine hapo,anaitwa Siza Mwangosi
ReplyDeletempeni email yangu wadau tafadhari
juniorcedric@yahoo.com
mdau-PUGU BOYZ aka shule ya viongozi wa bongo!
Samahani Mdau ambaye haujataja jina! Ombi lako limenitonesha kidonda changu! kwani ndugu yetu Siza ambaye unamtafuta, nina masikitiko makubwa kukufahamisha kuwa Alifariki dunia mwaka jana kwa Ajali. Alikuwa kwenye Bus akisafiri kutoka Volgorod ambapo alikuwa anasoma kuelekea Stpetersburg. Alikuwa anakuja Stpetersburg kututembelea sisi rafiki zake hapa StPetersburg!Mwili ulisafirishwa kwa maziko huko nyumbani Tanzania.RIP Siza
ReplyDeleteWako KIDUME.
Wadau wa Urusi namtafuta bwana Joseph Kashagili anafanya medicine huko anayemfahamu tafadhali ampe taarifa hii from Mr.Nidze isimikinyi@yahoo.com
ReplyDelete