baada ya mchezo wa kirafiki kati ya staaz ya urusi na angola huko moscow juzi timu hizo na viongozi zilipiga picha ya pamoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Safi sana Staarz ya URUSI....Sasa kama mojawapo ya staarz wa Urusi mtasoma haya maoni namtafuta bwana mmoja anaitwa Joseph Kashagili anafanya medicine huko awasiliana nami kwa isimikinyi@yahoo.com..Bro Nidze.

    ReplyDelete
  2. Hili mechi lilikua safi sana, coz vijana walijitahidi kuonesha uzalendo wao mbele ya mh waziri, maana hao waangola nivijeba, vimeshiba, lakini vijana walijitahidi sana mpaka wakashinda

    ReplyDelete
  3. Hongera sana kwa ushindi mzuri inatia moyo sana kuona vijana wanaungana na kufanya kitu kwa pamoja chenye lengo la kuitangaza nchi .....Pongezi kwa uongozi mzima ubalozi wa Tanzania -Moscow Mh. P.Chokola.

    Dr. Balilemwa

    ReplyDelete
  4. ebwana hata mimi namtafuta mshkaji wangu anafanya medicine hapo,anaitwa Siza Mwangosi
    mpeni email yangu wadau tafadhari
    juniorcedric@yahoo.com
    PUGU BOYZ aka shule ya viongozi wa bongo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...