Home
Unlabelled
TANZIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, Hawa kina Rugemalira sijui
ReplyDeletemmojawapo ni PATRICK RUGEMALIRA ambaye nilisoma naye Chang'ombe Primary School kati ya mwaka 1970 hadi 1973 pamoja na akina NORMAN SABUNI, ZUBERI ZAYUMBA, EDITH MASANJA,LUCY MKANDE, ABRAHAM MWASONGWE, PENINA MHANDO, MARIAM HIMID,SELINA MKAJA, HELENA SEBASTIAN, HASSAN ZAWAYAI, MBILIYAWAKA HANG'O, SLYIVIA TUNGINIE, RICHARD KILANDEKA, GOSBERT RODERICK na dada yake ESTHER RODERICK, ROSEMARY TESHA, GEORGINA RUGIMBANA na dada yake ROSEMARY RUGIMBANA ambao mdogo wao aliyekuwa nyuma kwa darasa moja sasa hivi ni mkuu wa wilaya moja ya mkoa wa Kilimanjaro. Ningefurahi mno kuwasiliana na school mate hawa hawa tuliopotezana nao kwa zaidi ya miaka thelathini sasa. Natoa POLE kwa wafiwa.
he jamani na mimi nimesoma Chang`ombe primary, lakini wewe ulikuwa mbele yangu,mimi kuanzia 1982-88,enzi inzo wa darasa la 7 ni kina fanuel ligate,na kina mkony`s wa pale maduka2,aisee nilidhani ni mimi nayekumbuka maclass mate, jamani Radoo lenya,juliana Rocky,arip olekambaine, shani kahamba,emma tara mko wapi?ma LY88 7B,MISS U GUYS
ReplyDelete