kava ya albamu mpya ya ay

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. MIMI NIMVULANA NATAFUTA MCHUMBA MICHUZI!!!

    ReplyDelete
  2. Thats Good!! nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya huyu mshkaji kwa kweli anajitahidi sana. KEEP IT UP, Good work.

    ReplyDelete
  3. Nenda kwenye Hi 5 au kwenye www.date.com huku kwa michuzi sidhani kama utampata kirahisi rahisi.

    ReplyDelete
  4. Hujamuelewa!!! Jamaa ana maanisha mshikaji hapo juu katoka bomba kuliko hata dada yake kwahiyo kamtamaniiiii! ( si unajua hustlers wanasura mbaya cku zote man!)

    ReplyDelete
  5. NICE COVER VERY WELL DONE..VERY CREATIVE..GO YESAYAH SKY'S THE LIMIT

    ReplyDelete
  6. Bwana Michu! Mimi nataka niendeleze libeneke la maoni niliyotoa hapo awali kuhusu wasanii wa Bongo Flava ili wadau wachambue kwa kina hii mada kwamba 'Wasanii wa Bongo Flava hawatoki kimataifa kwa sababu ya lugha, je ni kweli au nimekosea????'

    Refer maoni niliyotoa hapi awali:

    Ukiangalia AY yeye kwenda kwa wifi zetu Kenya na Uganda ndo amefika, ni kweli sio mkali lakini namheshimu kwa kujenga jina lake East Africa.

    MwanaFa huyu bwana ninaheshimu mashairi yake, ni mkali ktk lyrics, namshauri sasa atunge albamu moja tuu ya kiingereza. Kisha aendelee na nyimbo zake za kiswahili.

    Haya sasa nakuja kwa Mr Misifa, hapa ni talent iliyokosa manager wa nguvu na sio wa kutoka bongo. Kwanza kabsa atafute manager nje ya Africa halafu aingie full shangwe katika reggae dancehall riddims, achukue beats zinazotoka kila siku Jamaica, awe anatunga nyimbo hata akiweza aimbe kwa English. Kila siku kina Sizzla, Jah Cure, Morgan Heritage na kadhalika wanafanya vitu vya uhakika.

    Sababu moja Bongo Flava haisikiki kimataifa ni lugha, kina 2Face wamefika mbali ni kwa sababu ya English. Sasa muda umefika kwa hawa wana bongo flava kuanza kuimba kwa kiingereza angalau albamu moja wapige kwa kiiengereza kwa ajili ya INTERNATIONAL MARKET.

    ReplyDelete
  7. madigital kamera haya!jamaa katoka mlainiii!
    lakini he is doing a good job!anastahili pongezi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...