Home
Unlabelled
utamaduni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wadau sasa hapo Richa alikuwa anacheza ngoma au anaigiza?? Maana kama ni mavazi ya kawaida tu sijui ni sehemu gani ya Tanzania ambapo tunavaa vibwebwe vya namna hiyo. Mi natatizika kidogo juu ya namna tunavyoweza kuonesha utamaduni wa Tanzania.
ReplyDeletewanapendeza, Richa I love you.
ReplyDeleteshe looks ridiculous.
ReplyDeleteWe anony 11:26:00 PM ET, jiheshimu tafadhali, nina wasiwasi na uraia wako km hujui hayo ni mavazi ya asili ya kabila gani???!! nakujua, km vp bora uondoke leo uende kwenu otherwise natoa taarifa uhamiaji!!! GO RICHA GO BABY...u looks gorgeous!!!!
ReplyDeleteKAMUA GIRL KAMUA BREEEEED IN AFRICA WASIWASI WENU UKO WAPI...KAMA NI NGOMA ATACHEZA ZA KINYAMWEZI....WANYAMWEZI WENGI WAHINDI SO NO PROBLEMA THERE
ReplyDeleteKila kitu na asili yake! Hii inanikumbusha ngoma waliyocheza Mrema na Cisco wakati wa kampeni ya kugombea ubunge wa jimbo la Temeke miaka ya nyuma huku kila mmoja akijivuna kuwa ni mkazi asilia wa Temeke! Richa nawe jaribu kuonyesha kuwa una asili ya ubantu kwa kuicheza ngoma kisawasawa - hata Mrema pamoja na kutokuwa mzaliwa wa Temeke aliweza kushinda ubunge huo!
ReplyDeletekeep it up!!Richa I love you heaps.
ReplyDeleteAnonymous wa 11:21 hapo juu kabisa usitatizike na namna ya tunavoweza kuonesha utamaduni wa Tanzania kwani ndio Tanzania yenyewe ilivo ilivo kutokua na utamaduni wakueleweka!
ReplyDeletekesho usije shangaa kumuona mwengine amejipakaa lami mwili mzima kwa lengo la kuonesha utamaduni wa tanzania wakati mwengine kavaa nguo za kimasai ndo kuonesha utamaduni wa tanzania au tenge la kinigeria .....nk!!
heheheh kazi kweli kweli yangu macho na nchi hii!!!
Mnh, Jamani huyo Richa Hafiki popote!!! Ana tumbo paanaa!!! Yaani features za umiss "F".
ReplyDeleteahhhaaa angejivalia SARI ingempendeza nasikia kuiga sio vizuri unatakiwa uwe real sio sasa imekuwaje
ReplyDeleteIs this a joke or what?hahahahaha
ReplyDeleteNYIE MNAOPIGA KELELE WOTE HAMNA LOLOTE, KAMA MNAJIAMINI NYIE WAZURI MBONA HAMKUJITOKEZA? WENGINE HAPO MATUMBO YAMEWADONDOKA HADI MAGOTINI LAKINI KAZI KUSEMA KATOTO KA WATU, KAZURI BABU, SEMENI HADI MFE, GO RICHA GOOOO GAL, WE LOVE U, HATA UKIRUDI MTUPU SISI POA TU !! WABONGO MMEZIDI, KASHINDA RICHARD MANENO, RICHA NAYE AKIONYESHA VITUUUZ MANENO, SIJUI MFANYIWE NINI JAMANI!! MTAKUFA NA KIJIBA CHA ROHO!!! WAPUUZI WAKUBWA!!!
ReplyDeleteWee anony wa 9:33, wewe ndio kielelezo cha watanzania wasiojua kushindanisha hoja! mtu akihoji kitu tu basi ni kijiba cha roho! hakuna aliyesema kuwa huyo mhindi sio mzuri. ni mzuri wa haja. suala hapa ni Mhindi wa Bara Hindi kuwakilisha Uzuri wa Mbantu wa Afrika, potelea mbali kuwa mababu zake hamsini waliopita wamezaliwa hapa!!
ReplyDeletematokeo yake ndio hayo ya kuonekana kituko kwa waandaaji wanaofahamu fika kuwa Mhindi yake ni Sari na haya mambo ya Vibwaya vya Ukindu yanatoka wapi tena! amkeni, wabongo.