linavyoonekana mchana, chini linavyoonekana usiku

hatimaye jengo ambalo zamani lilijulikana kama mafuta house kona ya mitaa ya azikiwe avenue na jamhuri ambalo limemaliziwa na nssf hatimye limeshapatiwa jina na liko tayari kwa ufunguzi rasmi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Haya baba!

    ReplyDelete
  2. He Michuzi kisa gani kumwanga kiinglish kikali hivyo kwa dada Chemi? We Michuzi unawadanganya vijana wa bongo waamini wewe ulikwepa umande kumbe mmmh big up bro, uko juu

    Si tu kwa kiinglish ila kwa jinsi ulivyojibu kiitifaki, kumbe wewe ukiguswa unagusika?

    Sisi wamwaga sumu tulikuwa hatukujui ila sasa umetuosha vinywa mwaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Jamani Tanzania tuache upumbavu, hivi Mkapa kupewa hili jina wananchi walishirikishwa kutoa maoni yao? Mkapa ametusaidia nini zaidi ya kuiba pesa zetu?

    ReplyDelete
  4. Jengo zuri la kisasa, lakini kuliita Mkapa ndiyo wamekosea.

    ReplyDelete
  5. jumba hilo la mkapa ? sheria ya kutoshitakiwa laziam raisi aibe .

    ReplyDelete
  6. Kuna Logic gani ya kutoa majina ya majengo au barabara kwa watawala hata kama walikuwa mafisadi na wabadhirifu wa mali ya umma?.

    Hata Mahtamah Gandhi nae "ana barabara" wakati inajulikana alikuwa mbagusi mkubwa!

    ReplyDelete
  7. Mbona watu mnaongea km hamuijui nchi yenu, kwani hamjui hii nchi ni ya viongozi???!!!! na hiyo ni trela tu muvi lenyewe linakuja...subirini.

    ReplyDelete
  8. UKweli ni kwamba kijana Mkapa alitaka kuiita TZ Mkapaland ama Kambarage mwaka 2000, lakini advisers wakamuonya na hilo ndilo muvi lenyewe. Cha kushangaza naona kina Kikwete mpaka leo hii bado wanambeza huyu mwizi, eti baada ya kumfunga wao wanamtukuza kwa nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...