mdau victor akipokea nondozz na skripti ya kukubali kujiunga kwa maendeleo ya jamii ya wa-britishi kitongoji cha Walington toka kwa meya na kansela wa Wallington na Sutton richard bailey.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Jamani huyo kaka hajui dress code?? Yaani kavaa utasema anaenda kwenye mechi ya Simba na Yanga. Mwe! Angevaa hata shati na suruali tu sio lazima suti ila angedress up kidogo. Haya mambo mengine mwe!!!

    ReplyDelete
  2. dah! jamaa anaukana uraia hapa

    ReplyDelete
  3. We anony hapo juu, inaelekea we upo bongo, maana huko mnajali sana mavazi kuliko kitu kingine chochote, hata kam mtu nyumbani analalia mabox ama ameshinda ama kulala njaa. Hiyo yote ni katika kuficha umaskini. huku kwenye nchi za watu ukwasi wa mtu hautathminiwi kwa mavazi. hivyo pole ndugu na samahani kama utaudhika.

    ReplyDelete
  4. kweli anony hapo juu, kule bongo bado wanavaa suruali kuchomekea tumboni, hapa mtoni si unaona hata huyo meya hastuki na mavazi...

    ReplyDelete
  5. Sijaelewa hiyo nondo na skripti ndio nini? Kukubali kujiunga kwa maendeleo ya Wa-british eneo hilo maana yake nini? Angekataa kujiunga ingekuwaje angepewa nondo na skripti za kukataa? Naomba nifahamishwe maana sielewi kinachoendelea.

    ReplyDelete
  6. signed agreement to work positively together with british society as a foreigner in issues concerning the borough or council named.Nothing will happen if you disagree. Jibu kwa anony hapo juu, mi nilishakuwepo kule aghaibuni...acha mchezo

    ReplyDelete
  7. We mama, sijui baba nondo ni kama vile cheti na script ni kama maelekezo ya kufanya tokea upate nondo, kama ulienda shule si unajua ukimaliza unapata cheti cha kukuingiza kwenye ngazi nginginewe,
    kha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...