miss tz 2007 richa adhia akitangaza bongo kwa kuonesha vinyago vya kimakonde huku kala gauni la kitenge cha urafiki na vikolombwezo vyake huko china leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Mweee tunamwombea ashinde, lkn mbona hajafanana na hivyo vinyago jamani, anasema hao ni akina nani huko mashindanoni, maana watanzania asili yao ni weusi kama hivyo vinyago vya kimakonde, mweeee kila la heri Richa!!!!1

    ReplyDelete
  2. Kweli wabongo noma...yani we anony hapo juu bado hujakubali tu kuwa Richa ndo balozi wako mwaka huu??? mbn we unajichubua na hatusemi...c bora yeye hiyo ndo rangi ake. Ishu hapo ni uwakilishi wakweli...we mwenyewe sio mTZ, babako Mzimbabwe mamako Muethiopia ila si tumenyamaza tu. GO RICHA GO BABY

    ReplyDelete
  3. GO RICHI GO GO RICHI....MUNGU AKUBARIKI KATIKA MASHINDANO HAYO......

    ACHENI HIZO MBONA MIMI MWEUPE KULIKO RICHI LAKINI PURE AFRICAN GIRL...????

    TUMPE SUPPORT JUST FORGET ABOUT HER COLOR KEEP HER FOR THE SAKE OF OUR COUNTRIE'S NAME

    ReplyDelete
  4. Michuzi, labda miye nina makengeza au sielewi vyema. Mbona hivyo vinyago miye naviona kama vya ki-Masai? Mwenzangu huo u-Makonde hapo unauona wapi?

    ReplyDelete
  5. J4 umewaza kama mimi. Sanamu za Kimakonde ni nyeusi na za mpingo. Hizo nyekundu zina asili ya Ukambani kama nilisoma na kumbukumbu zangu ni nzuri.

    Yote tisa kumi, atasema hao ni nani?

    ReplyDelete
  6. Yaani watu wengine mnapotoa comment zenu muwe mnafikiria, na siyo maandika vitu kama mmeazima ubongo toka kwa mtoto mchanga, hiyo mada ya rangi sidhani hapo ni mahala pake, nafikiri kila mwenye akili timamu anguchukua nafasi hii kuungana na kumtia moyo huyu dada ili aweze kuitangaza nchi yetu.

    ReplyDelete
  7. Pambana dada yangu,Watanzania tupo nyuma yako.

    ReplyDelete
  8. ACHA MATUSI YA REJAREJA SISI SIO "..VINYAGO.." TANZANIA NI NCHI YA WEUSI, WEUPE, BLUU (KAMAWAPO) U NAME IT...

    ReplyDelete
  9. Wee NYUMA yake tunafanya nini?? Aka mimi siwezi kuwa nyuma yake, kwani NAOGOPA.

    ReplyDelete
  10. Mii bado nashangaa kuwa mpaka sasa kuna watanzania akili zao bado ni finyu juu ya ufahamu wa mambo. Pamoja na kutomkubali kwa Richa, bado wanafikiria kuwa kwa kuwa yeye ni Mtanzania mwenye asili ya Asia, ndio hajui utamaduni wa Tanzania. Hivi ni nani kasme kuwa ukiwa mweusi ndio unajua sana mila na desturi zetu?. Tumeona waswahili wangapi walioshiriki shindano la miss Tanzania wakishindwa kujibu maswali ya kawaida kabisa. Kwa taarifa zenu Richa ana ufahamu mkubwa mno wa Tanzania na mila zake kuliko nyie mnaojiita wa-Tz asilia. Ni wivu wenu na ufinyu wenu ndio unaowazuzua mkashindwa kuelewa kati ya mshiriki na mshindani. Nani kasema rangi nyeusi ndio kujua mila na desturi?. Kwani wote sisi si tumezisoma kwenye vitabu. Nani anaweza kusimama akasema kuwa anajua mila zote za Tz?. Wote tunategemea vitabu. Na kama Richa kichwa chake ni kizuri class, mnategemea mnajua kuliko yeye?. Labda umzidi kilugha chenu. Na ni nani atakayekuuliza kabila lako. Jamani acheni kuwa mambumbumbu, Miss World ni upeo wa kufahamu mambo, kuwa natural, kujua kuishi na watu, na urembo kwa ujumla.
    Mwacheni mtoto ajidai. Go Go Richa, ur our Queen. Leta ushindi Bongo, huu ni mwaka wa majina ya RICH....mtajaza.

    ReplyDelete
  11. Dah!!! we anony hapa juu yangu umenifurahisha sana, jitambulishe tafadhali nikupe zawadi (Michuzi ataisimamia uchofu)

    ReplyDelete
  12. Wape wapee wapee vidonge vyao!
    Wakimeza wakitema shauri yao!!

    Bora huyo Richa ana rangi asilia!
    Bora huyo Richa ana nywele asilia!

    Kama hamtaki rangi yanini kujikoboaa!!
    Kama mnajali uafrika maextension yaniii?!

    Wapee Wapee Vidonge vyao makimeza wakitema shauri.

    Hiyo ni special kwa wote wenye hulka na asili ya ubaguzi wa rangi.

    Go Richa Go Girl!!! Watu watapiga kelele hakuna miss Tanzania mwingine huko zaidi yako!

    Hongera any wa 5.14 kwa ujumbe wako maridhawa.

    ReplyDelete
  13. Angefanana na vinyago angekuwa miss Tanzania?

    Nauliza tena kuna Miss Tanzania yeyote yule alienda kwenye mashindano sura yake kama kinyago cha kimakonde? Kinaitwa cha kimakonde kwa sababu ndio maarufu kwa kuchonga vinyago hata kama kikiwa na shepu ya kimasai, wamasai hawachongi vinyago.

    Mwakani anzisheni shindano la miss vinyago halafu muwapeleke nao Miss World huko ala, mbona watu mnakosa point.

    ReplyDelete
  14. Anony wa 5:14, Aminia! Kwa hakika Richa akishinda na kuamua kurudi KWAO Bollywood kucheza picha za Kidosi lazima atakuchukua ukawe PR wake! Keep it up. teh teh teh!

    ReplyDelete
  15. Yaani jamani hivyo vinyago ni vizuri sana!!!
    Ningependa kupata anwani ya muuzaji.
    Natanguliza shukurani.

    ReplyDelete
  16. chuzz namna gani mjomba?naona miss bombay umemrudisha tena.hivi vipi hawa wabongo hakuna miss karatu mpaka muchukue yule wa karachi aahh!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...