masupa staa hupita ngurdoto pia kujipa semina elekezi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. G' .. Chumba icho...Umeona Bwaaana.

    ReplyDelete
  2. mmeng'aa sana

    ReplyDelete
  3. Mungu hawezi kuwapa kila kitu kama mwanaume bomba basi ujue mke ziii na ndivyo ilivyo kwa wanawake vise vesa,utajaza sasa mwenyewe.

    ReplyDelete
  4. Bishoga JIDE, wee mapigo ya vikapula achana nayo tu rafiki yangu, maana hizo ngoko !!! Duh! Wee uwe unavaa tu mapedle na suruali.

    ReplyDelete
  5. Wanoknok watu wa kuspakazia yasowahusu wao kuingilia.....!!!Mmependeza na ninawapenda sana kwavile mko imara na mnapenda sana.waacheni waseme wananyoosha mishipa ya mdomo hawana pesa ya bigijiii!!!!Nawapenda sana Jide na Gadner tena sanaa!!Mungu awatangulie daima

    ReplyDelete
  6. Jide mwayego wewe kama unapenda kaptula, micro miniskirts, gowns, wewe vaa tu na usiwasikilize watu. maana mpaka usubiri mguu uwe mzuri utakufa bure ukiwa hujavaa na nafsi yako inatamani. ruhksaaaaaaa juu kwajuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  7. Narudia tena kusema ruhsa tu, eti ni sawasawa na kusema mtu asicheke eti kisa ni kibogoyo!!!! cheka tu kwani mtu mzima meno yaking'oka hayaoti ng'oooooooo, ni kama vile miguu haiwezi kuwa mizuri hata ukisubiri mpaka Yesu arudi hainenepi wala hainyooki.....

    ReplyDelete
  8. Yaani Jide hivyo alivyo na ana mume bonge ya handasome, masikini miye mzuri nasifiwa na watu kibao lakini hata boyfriend sina. Mambo ya Mungu...!

    ReplyDelete
  9. Anony hapo juu pole sana! Ila nataka nikukumbushe kuwa siku hizi hamna mapenzi, watu wana angalia zaidi maslahi kuliko kupenda! Wanaume wanafuata mademu ambao wanapesa na wanawake pia wanafuata wanaume wenye pesa. Ninapotumia neno "pesa" simaanishi kwamba ni matajiri sana, ila tu kimaslahi wana nafuu kuliko wenzi wao!Kwa maana hiyo basi mwanamke akiwa "financially stable" anaweza aka amua awe na mwanaume yupi miongoni mwa wale ambao wanatafuta "Financial Security" na kwa mwanaume ni hivyo hivyo.Kwa case yako naomba ujaribu kujichunguza vizuri tatizo liko wapi, kwani kama kweli unamvuto kimaumbile basi ni kwanini mpaka sasa haujapata mwanaume mwenye pesa yake na anatafuta mtoto mzuri ili awe naye??! Maana kama upo bomba basi nashawishika kusema kuwa huwa unawatolea mbavuni wanaume ambao wanakufuata halafu unaona hawana kitu(Fukara).

    ReplyDelete
  10. wajameni mmependeza sana! JIDE upo juuuuuu kaza buti tuu si mwenyewe umesema kuwa siku hazigandi......! cha maana weee endeleaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...