Home
Unlabelled
wapi hapa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo ni tengeru Michuzi
ReplyDeleteDada T
NO! kushoto ni AICC Club na barabara ni ya kijenge - Downtown. picha ni toka Impala Hotel
ReplyDeletenafikiri ni kijenge
ReplyDeleteMichu.. Hapa ni Kijenge tena hii view umeipata kutokea Impalla Hotel. Utakuwa umepiga picha tokea moja wapo ya vyumba vya Impalla Hotel. Kinacho Onekana kwa karibu hapo ni barabara inayokwenda kwenye makutano njia nne moja inaenda mjini(New Arusha) nyingine Njiro Hill ilipo ESAMI na njia nyingine inaenda huko ilipokuwa Hotel 77) Mbele kwa karibu inaonekana iliyokuwa inaitwa AICC club (kijumba cha mviringo, wana supu nzuri sana pale). Hili jengo upande wa kulia wa picha mbele ya uwanja mkavu mkavu hili lilikuwa jengo ni jengo la kuchezea mpira wa squash enzi hizo.. sijui linamilikiwa na nani siku hizi. Naandika ujumbe huu toka Washington DC ambapo ndio naishi toka mwaka 93. Nimekuwa naenda Arusha mara kwa mara baada ya kuhamia hapa USA kubeba maboksi.
ReplyDeleteNi mie mdau wako
former a-townian (FAT)
nafikiri ni kijenge round about
ReplyDeleteHapo ni maeneo ya kijenge na huo uwanja wa mpira imo ndani ya AICC Club karibu ni mzunguko (round about) mkubwa kuliko zote hapa Tanzzania.
ReplyDelete