SUBIRA YAVUTA HERI. HABARI ZIMEINGIA SASA HIVI KWAMBA DEGE KUBWA AINA YA DC 10 LINATARAJIWA KUTUA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE MUDA WOWOTE KUANZIA SASA TAYARI KWA KUWACHUKUA MAHUJAJI WALIOKUWA WAMEKWAMA KWA SIKU KADHAA HAPO UWANJANI. HIVI TUNAVYOONGEA ABIRIA HAO WAMESHAANZA KUCHEKIWA NDANI NA PANAPO MAJAALIWA DEGE LITAONDOKA SAA 3 USIKU HUU...TUTAENDELEA KUPASHANA KITACHOJIRI
Home
Unlabelled
BREKING NYUUUZZZZZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Waondoke tu. Ilishakuwa shida. KIla la kheri.
ReplyDeleteWewe Michuzi vipi bwana? kila nikituma comments zangu you dont publish is it because zinakugusa? mimi nilikuwa siongelei udini, nilichokuwa nasema nikuwa JK anayo ajenda ya siri, soon we will be joining OIC and soon Mahakama ya Kadhi. Tunajua kuna kipindi fulani yeye JK and Karume walikutana na Rais wa Iran in Zanzibar, na juzi juzi hii Vice President alikuwa Iran na walifanya mazungumzo ya faragha na Rais wa Iran.... We know what is going on, Mtikila is right, kazi kwenu bwenu
ReplyDeleteMimi nashauri mahujaji wa mwakani watumie meli, kwa sababu ndege inaumiza kichwa.
ReplyDeleteAisei hiyo wazo ya kusafiri kwa meli siyo mbaya. Meli kubwa inaweza kuchukua watu 1,000.
ReplyDeletebmungu ibariki tanzania:
ReplyDeleteWabongo utawajua tu!Meli jagwani tena jamani!!Mhhh!
ReplyDeleteGEOGRAPHY, GEOGRAPHY,annony wa Wednesday, December 12, 2007 7:15:00 AM EAT
ReplyDeleteat least go back to the world Atlas kabla huajakandiaaaa