baba yake mzazi marehemu odhiambo, mzee joshua waswani, akishukuru waombolezaji
mke wa marehemu akilia kwa uchungu

mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya ipp mzee reginaldngi akitoa heshima zake za mwisho mtangazaji phina mango na meneja maslahi wa clouds 88.4 fm ruge mutahaba wakitoa heshima zao za mwisho kwa hayati godfrey odhiambo aliyekuwa meneja mkuu wa clouds 88.4 fm leo kanisa ka pentekoste la kinondoni ambapo baada ya hapo mwili ulipelekwa uwanja wa ndege tayari kusafirishwa kwenda kwao kisumu, kenya, kesho kwa mazishi yaliyopangwa kufanyika siku ya jumamosi. Mola aiweke roho ya marehemu pahala pema peponi - amina




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...