Home
Unlabelled
duka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukitaka matusi mguse uone atakavyokupolomoshea kilo za matusi.Mnyonge na mshamba kama mimi majita wa watu,huyooooo!napita zangu pembeni namuacha manake najua akikua ataacha mwenyewe tu tabia chafu kama hiyo.Si ange pull over jamani,kwani gari linasimama kama mruko wa chini????
ReplyDeleteWatu wengine bwana,washamba kweli.Hapo ukimsachi utakuta ana leseni class "C".Na nyie Polisi ngoja tu.Nakuja kuwa IGP wenu ndaki akiwa Rais.
Mtaipata tu.
yaani huwa inakera sana mtu kuishiwa mafuta namna hiyo. sasa utashangaa hela anayo mfukoni lakini akienda kituoni anapima mafuta kwa kijiko. hakuna anachookoa maana baada ya kuzimikiwa utaenda tena kununua mafuta ila this time itakugharimu zaidi maana itabidi kukodi gari kufuata mafuta!! what a shame. Sheria iandaliwe kudhibiti watu hawa!!!
ReplyDeleteMichuzi ndugu yangu, ulipopiga hii picha si ungenistua walau kwa salamu. Rejeta ilikuwa imechemsha, ilipasuka kwa juu, temperature ikapanda ghafla, moshi ukaanza kutoka mbele. Nikashindwa kupaki pembeni, sababu pembeni penyewe si uliona lile shimo walilochimba? na ile kamba waliyojuia.
ReplyDeleteHii gari mwanangu ni full tank. Sababu ya wese ndugu zangu mumeitoa wapi? au munajua mukitukana huku kwenye blog (glob) mutakuwa mumejificha?