ukizingatia wembamba wa barabara na foleni, hii tabia ya kufungua duka mchana inabidi ikemewe hasa has kama sababu ni wese

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ukitaka matusi mguse uone atakavyokupolomoshea kilo za matusi.Mnyonge na mshamba kama mimi majita wa watu,huyooooo!napita zangu pembeni namuacha manake najua akikua ataacha mwenyewe tu tabia chafu kama hiyo.Si ange pull over jamani,kwani gari linasimama kama mruko wa chini????

    Watu wengine bwana,washamba kweli.Hapo ukimsachi utakuta ana leseni class "C".Na nyie Polisi ngoja tu.Nakuja kuwa IGP wenu ndaki akiwa Rais.
    Mtaipata tu.

    ReplyDelete
  2. yaani huwa inakera sana mtu kuishiwa mafuta namna hiyo. sasa utashangaa hela anayo mfukoni lakini akienda kituoni anapima mafuta kwa kijiko. hakuna anachookoa maana baada ya kuzimikiwa utaenda tena kununua mafuta ila this time itakugharimu zaidi maana itabidi kukodi gari kufuata mafuta!! what a shame. Sheria iandaliwe kudhibiti watu hawa!!!

    ReplyDelete
  3. Michuzi ndugu yangu, ulipopiga hii picha si ungenistua walau kwa salamu. Rejeta ilikuwa imechemsha, ilipasuka kwa juu, temperature ikapanda ghafla, moshi ukaanza kutoka mbele. Nikashindwa kupaki pembeni, sababu pembeni penyewe si uliona lile shimo walilochimba? na ile kamba waliyojuia.
    Hii gari mwanangu ni full tank. Sababu ya wese ndugu zangu mumeitoa wapi? au munajua mukitukana huku kwenye blog (glob) mutakuwa mumejificha?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...