gado akitoa spichi

gado akipokea tuzo yake na mkwanja

gado na mdau wa kwa watani wa jadi

gado na mai waifu wake

gado wa wadau

gado na wadau na mai waifu...

Habari issa michuzi,
Kuna wakati niliona umeweka kwenye blog yako gado ametunukiwa tuzo yaNetherlands. sasa basi jana alifanyiwa party ubalozi wa netherlands hapa nairobi, kenya, kukabidhiwaTuzo na mpunga wake. Ilikuwa party kubwa ya watu kama 300, erick wainaina ndo alitumbuiza, ba balozi wa tanzania kenya alikuwepo pia, Mama Kadege na marafiki wa Gado walioko Kenya pia tulikuwepo.
-Mdau wa kwa watani wa jadi
CARTOONIST GADO MAKES TANZANIA PROUD!
Godfrey Mwampembwa, alias Gado, who is the most widely syndicated cartoonist in East and Central Africa has just made Tanzania proud.
His daily cartoon, which is the most popular attraction in the prominent Kenyan newspaper, 'The Nation', has won him the 2007 Prince Claus Award that goes with a whooping 25,000 Euro.
Gado's courage inspires many journalists and the sharp analysis, stinging wit and humanity of his cartoons are contributing to democratisation and freedom of expression in East Africa.
An expert creator of witty cartoons, Gado ( 1969, Dar es Salaam) provides unique insights into local and international issues.
With brilliant simplicity, his pen unerringly targets underlying social, political and cultural conflicts, revealing their impact on individuals, highlighting weaknesses and frailties yet never ignoring the essential humanity of his subjects.
A pioneer in testing local boundaries, Gado's crisp analysis and revelations prod the powerful. His resistance to political interference and boldness in tackling hot issues head on are important contributions to democratisation and freedom of expression in East Africa, inspiring many who are threatened by censorship.
In 1999 he was Kenya's Cartoonist of the Year and he is the most internationally syndicated editorial cartoonist in East and Central Africa. One of 12 participants in the UN's exhibition 'Cartooning for Peace', Gado's work is collected in two books, Democrazy! and The End of an Error and the Beginning of a New One. He has also produced a comic book and a video on racism, and in 2001 graduated in classical animation and filmmaking.
This award honours Gado for his courageous cartooning, for using humour to expose aspects of social and political conflicts, and for his inspirational role in the struggle for free expression.
The Awards were announced on Wednesday, 12 December 2007, with Congolese choreographer Faustin Linyekula winning the 2007 Principal Prince Claus Award of €100,000 in the Muziekgebouw aan 't IJ in Amsterdam.
The Prince Claus Fund has selected Culture and Conflict as an area of special interest and as the theme for the 2007 Prince Claus Awards.
Culture, for the Prince Claus Fund, is a basic human need. Culture has the power either to provoke or diminish conflict.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Hongera gado lakini huyo mjomba anayetoa mkwanja utadhani ki embryos iliyopotea njia!

    ReplyDelete
  2. naona mshkaji yuko gado !

    ... hihihihihiii.. :))

    ReplyDelete
  3. hongera sana godfrey mwampembwa kila la keri .god gave you a talent for a reason .
    Gibbons Mlowe
    Edmonton

    ReplyDelete
  4. hongera Gado, mungu akuongezee nguvu na kuweza kuendelea kutupa kazi zako.
    Ila kama ujaanza, basi jaribu kuweka kajarida kamoja hata kwa mwaka ili tuweze kupata kazi zako za mwaka hii inaweza pia ikawapa vijana hamu ya kuwa wachoraji tukaongeza vipaji, kumradhi sio ushindani!
    Mzee wa MWZ

    ReplyDelete
  5. Gado poa mshikaji, waoneshe jamaa kuwa Wabongo tuko fiti. Msalimie Dkt. Jan. Mpe simu yako Jan mwambie ampe Dkt. David, halafu nitakupigia kuna mkwanja mwingine huku. Bi Mkora yuko wapi? Lintu naye? Na Shinunu?

    ReplyDelete
  6. Hongera Gado. Dr. Janny & Dr. Joy Kavishe (the wife) nawapa Hi. mnaonekana mkiwa na nyuso za furaha na wenye mapenzi tele, plse keep it up!!!

    ReplyDelete
  7. Namuona Dr. Jan akiwa kwa watani wetu wa jadi. Nakumbuka zamani tukiishi nao muhimbili (early 90s) walikuwa wakifuga sungura.

    ReplyDelete
  8. Misoup unamtafuta manenp Maggie wa London, sasa hii "Mai wife wa Gado" akiiona tena si balaa hapa!

    Ngoja atoke kusoma kamusi ya kiingilishi, sijui utakimbilia wapi manake hataki kabisa lugha sijui kabila ya malikia wake iharibiwe.

    Dada zetu hawa nao jamani, mh!

    ReplyDelete
  9. Hongera sana GADO!!


    SteveD.

    ReplyDelete
  10. Na yeye anastahili kupokelewa uwanja wa ndege kama Richard. Ameingiza hela nyingi nchini kwetu pia huyu...pound 25,000 jamani hamuoni au hamtaki kusikia?

    Kampokeeni airport kwanza yeye kazi yake kila mtu aniappreciate

    Hongera baba

    ReplyDelete
  11. Mimi mkeo tu, very beautiful Gado.
    hongera sana.

    ReplyDelete
  12. Wewe gibons Mlowe hebu wasiliana nami kupitia hapa k.mnyalukolo@yahoo.co.uk, mimi kaka yako please

    ReplyDelete
  13. Hivi huyo na Gado ni mshikaji anaitwa Jan Masesa au? nilisoma naye I think la kwanza Upanga primary... Nduguye Gado anaitwa Robert yuko wapi naye?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...