HABARI NI KWAMBA KUNDI LA KWANZA LA MAHUJAJI LILIFIKA SALAMA JANA NA LA PILI NA LA TATU YANATARAJIWA KUONDOKA LEO SAA MBILI USIKU KWA NDEGE ILIYOWAPELEKA KUNDI LA KWANZA NA KURUDI NA INGINE AMBAYO ITALETWA KUOKOA JAHAZI.
TATIZO LA 'SLOT' LIMESHATATULIWA NA PIA MUDA WA NYONGEZA KATIKA MSTARI MFU WA LEO ALHAMISI UMEPATIKANA HIVYO KWA MUJIBU WA UCHUNGUZI WA GLOBU YENU HII SWALA LA MUDA KUWA UMEKWISHA WA KWENDA SAUDIA LIMESHAPATIWA UFUMBUZI NA MAHUJAJI WOTE WATAKWENDA HIJJA
SABABU YA DEGE KUONDOKA SAA MBILI USIKU BADALA YA ASUBUHI NI KWAMBA MAFUNDI MITAMBO WALIGUNDUA HITILAFU NDOGO KWENYE SEHEMU YA KUHIFADHIA MAJI AMBAYO HATA HIVYO INAPATIWA UFUMBUZI KWA KUAGIZWA SPEA TOKA SAUZI AMBAYO IMESHAFIKA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ndege yenyewe ya kizamani DC10 what do you expect? hawa jamaa wa serikali wanaboa sana!!

    ReplyDelete
  2. Kila kitu hutokea for reasons, hawa watu wahairishe hii safari maana huwezi jua wanaepushwa na nini, why kila siku kikwazo? wajiulize Mungu ana makusudi gani nao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...